Nakosa graduation yangu kwa ajili ya mpunga! Roho inaniumaaa!

achaga ukilaza wewe! Katengeneze pesa urudi kusoma masters hata nayo ukikosa graduation ceremony sio issue, . . .its a few hours celebration haina any effect unless you tune your head to that direction.
 
Mzee hujaelewa post! Cku nasaini mkataba niliongea nao hiyo ishu wakarefuse
Why did you discuss it at that point? Any way go and discuss it with your immediate supervisor. I have a feeling you presented the issue at the wrong time and possibly to the wrong person. All the best.
 
kazi ndo kila kitu mwana.KAZI MBAYA UKIWA NAYO! graduu ni kitu cha siku moja tu lkn kazi ndo inakuweka mjini so piga mzigo mwana
 
nenda mzigoni mwana, weka kabajeti kwa usafiri wa haraka kama ndege vile ikitokea mwajiri wako mpya akakupa ruhusu baada ya kuripoti. nafikiri options walizokupa si za kiungwana kabisa, sign contract then weka ombi lako la hata siku 2 uweze kukamilisha lengo lako then pia mwambie mwajiri uko tayari kufanya kazi weekends, au saa za ziada kukamilisha kazi zitakazokuwa pending kwa kutokuwepo kwako
 
Why did you discuss it at that point? Any way go and discuss it with your immediate supervisor. I have a feeling you presented the issue at the wrong time and possibly to the wrong person. All the best.

Ni kweli jamaa alikosea,haukua wakati wake kuwaambia kuhusu graduu,wamemwona ni mtu asiye serious kabisa na maisha,wangapi wanapiga chini graduu hata kama wapo mkoa huo huo,wapo watu kibao ambao wanataka kaz bana acha kuzingua
 
nakumbuka graduation yangu ya darasa la saba haikufanyika coz tulipomaliza tu ndio kukawa na msiba wa baba wa Taifa, nilipomaliza form four the next day nilienda anza computer studies so sikufanya graduation na hata form six nilipomaliza tu mtihani nikaondoka kurudi home fasta kwa ajili ya temporaly employment. nilipokuwa UD matokeo ya mwaka wa kwanza na wa pili niliyatumia kuomba kazi u cant believe nilipata kazi kabla cijamaliza semester ya mwisho ya mwaka wa Tatu, so graduation hiyo pia sikufanya coz tarehe ya graduation ilikuwa ni siku ambayo nilitakuwa kufanya presentation ya ofisi kwa clients. so sijawahi kuwa na graduation, bt im still ok coz naamini i missed them for some good reasons.
 
Kama una hela zinakusumbua nenda kwa Charity Work! Graduation ni nini?? Ingekuwa poa kama kungekuwa hakuna vitu vinavyo-concide! piga kazi!
 
we nenda kazini ukaripoti. kisha omba ruhusa ukifika huko wanaweza kukukubalia.
kwanini unaisemea kampuni eti hawatakuruhusu friday! hii ni sawa na kujinyima ruhusa, acha wao ndio
wakunyime hiyo ruhusa.

Ushauri huo kaka.....
 
Watu mnacheza na kazi!!
Yani unashindwa kufanya maamuzi kati ya graduu na kazi!!
Dah!ukitaka kujua kipi cha muhimu,pigia watu 10,uliomaliza nao waulize wameshapata kazi?
Majibu na idadi yawaliopata na ambao hawajapata itakusaidia kupata maamuzi.
 
Unaweza ukaifanya hapohapo ulipo. Arrange wafanyakazi wenzio na maboss zako baada ya kazi wakufanyie katafrija kadogo wakusemee karisala kadogo. Tena inaweza kukusaidia ukapata na kacheo kwa ubunifu.
 
sherehe sio lazima chalii, hayo majoho hata watoto wa chekechea siku hizi wanavaa, mimi nilimaliza hapo hapo ardhi miaka 2 iliyopita na sijafanya sherehe, utavaa joho ukisoma digree ya pili.
 
nashangaa kuona eti unauliza ufanye lipi..............hujui priority? ar u a graduate? ulishawah kuhudhuria kuona kinachofanyika kwenye graduu?........................there is nothing so special..........than kupiga picha ukiwa umevaa joho kitu ambacho waweza kukifanya kwa kuazima joho la mtu na kupigia picha..............FANYA KAZI achana na habari ya sherehe....................
 
Back
Top Bottom