Nakosa graduation yangu kwa ajili ya mpunga! Roho inaniumaaa!

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,079
8,219
Wazee graduation yangu at ardhi university ni next saturday and since first year nilikuwa nimeipania sana! Then nimesaini a well-paying contract na kampuni flan ya mkoani,too far! Nilipowaambia kuhusu graduation they told me nichague 1 between graduation and kazi and wanataka niripoti kazini juma4 inayokuja! Nipo hoi! Nikienda tu kuripoti ntamis graduation coz hawata niachia niondoke friday! Hivi kuna madhara yeyoye psychologicaly and socialy kumis your first degree graduation? I dont know,but am a little bit frustrated!LOVE EL
 
Pole. . .
Just blow it off usije ukapoteza kazi ukarudi hapa na kilio.
 
we nenda kazini ukaripoti. kisha omba ruhusa ukifika huko wanaweza kukukubalia.
kwanini unaisemea kampuni eti hawatakuruhusu friday! hii ni sawa na kujinyima ruhusa, acha wao ndio
wakunyime hiyo ruhusa.
 
kama kwenu ni familia bora piga chini ila kama ndo kijiji kilikuwa kinachanga ada uwe mbayuwayu
 
Mzee hujaelewa post! Cku nasaini mkataba niliongea nao hiyo ishu wakarefuse
we nenda kazini ukaripoti. kisha omba ruhusa ukifika huko wanaweza kukukubalia.
kwanini unaisemea kampuni eti hawatakuruhusu friday! hii ni sawa na kujinyima ruhusa, acha wao ndio
wakunyime hiyo ruhusa.
 
We temana na kazi eroo, mahafali hayajirudii yakishapita arifu. Hizi kazi zipo na zitakuwepo. Nakushauri hudhuria mahafali eroo.
 
kaaaz kwelkwel..gradu'hate' unashindwa kulitolea hili maamuz? Anyway...,kwani nafas ya kaz ipo moja? Kaz zpo kbao waskuzingue pia graduation zote nikama znafanana,kwani hii ndo grad. yako ya kwanza tokea 'upate akili'? Ni suala la kimantik kaa,pima kisha usisite kutujuza uamuzi utakao chukua.
 
Wazee graduation yangu at ardhi university ni next saturday and since first year nilikuwa nimeipania sana! Then nimesaini a well-paying contract na kampuni flan ya mkoani,too far! Nilipowaambia kuhusu graduation they told me nichague 1 between graduation and kazi and wanataka niripoti kazini juma4 inayokuja! Nipo hoi! Nikienda tu kuripoti ntamis graduation coz hawata niachia niondoke friday! Hivi kuna madhara yeyoye psychologicaly and socialy kumis your first degree graduation? I dont know,but am a little bit frustrated!LOVE EL

Dude, mine was yesterday,nimepotezea. Mpunga ndo unalipa bill, sio graduu. Kaza
 
kama kwenu ni familia bora piga chini ila kama ndo kijiji kilikuwa kinachanga ada uwe mbayuwayu

hapa umemwambia vema

We temana na kazi eroo, mahafali hayajirudii yakishapita arifu. Hizi kazi zipo na zitakuwepo. Nakushauri hudhuria mahafali eroo.

kumbuka watu wanasota sasa kupata kazi, akariport kisha aombe ruhusa awaambie kweli
 
Back
Top Bottom