myao wa tunduru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2010
- 615
- 234
Habari zenu wana JF,
Katika miezi ya karibuni nimekuwa nina tatizo la kukoroma sana na kwa sauti kubwa mpaka kero kwa majirani.
situmii kilevi chochote vilevile uzito wangu ni wa kawaida!je tatizo linaweza kuwa nini na je ninawezaje kuzuia hali hii inayoninyima raha????
Ahsanteni