Najuta kuchelewa kuijua ANDROID

huko kwingine mbwembwe tu samsung galaxy note II GT N7100 ile ni sayari nyingine ...nahc kama napata raha na mrembo ndani ya swimming pool

Te te te te te....!! Nashukuru sana mkubwa kwa kuniburudisha nimecheka sanaaaaaa...

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Wakuu mwanzoni nilikuwa mgumu sana kuhama nokia na symbian yao.....
Majuzi nimenunua samsung galaxy ace 2, kila kitu ni burudan..kuanzia application ya jf, camera na speed ya internet
Mimi nipo mweupe kwenye mambo ya simu, ila Camera inahusianaje na OS? ... halafu, speed ya internet vilevile inahusiana vipi na OS?
 
Mimi nipo mweupe kwenye mambo ya simu, ila Camera inahusianaje na OS? ... halafu, speed ya internet vilevile inahusiana vipi na OS?

mkuu upo sahihi camera, speed ya internet havihusiani kabisa na os ila ni misconception tu inamaana hapo juu alitakiwa aseme samsung ya ukweli na sio android ya ukweli
 
kiukwel android wamevunja yaani kitu hata kiwe na mb30 >spid yak ach.Kwar nokia
 
Daaaaah charge noumah kka haitunziiiii



Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
huko kwingine mbwembwe tu samsung galaxy note II GT N7100 ile ni sayari nyingine ...nahc kama napata raha na mrembo ndani ya swimming pool

Yu have spended much maana mm natumia huawei y300 mh i guec hakuna tunachotofautiana kwa kweli
 
Techno ni techno tu hata kama itawekwa Jelly bean hiyo n7 ina resolution ndogo sana so imeifanya screen kupauka vibaya mno

mkuu sio resolution tu iphone hazina resolution kubwa ila zinaonesha vizuri kuliko hizo 1080p screen. kuna vitu extra screen inahitaji kuwa nayo kama hizo retina display na cbd. simu ikiwa na amoled au oled screen inakua dark na kufanya details zionekane vizuri vyote hv huwez kuvikuta humo kwenye techno.

hizi techno hasa hio n7 ni overpriced kuna simu zina range ya bei hio zina build quality kubwa na vifaa vyake premium. mfano kwa android kuna galaxy ace 2 (sio ya kwanza) ambayo mwanzisha thread amenunua hii ina specs zinazofanana na n7.
 
Back
Top Bottom