Najitokeza natafuta kazi ya unasihi/ushauri nasaha kisaikolojia

Nyie ndio mliomua kuchagua UDSM hata kama kozi ulioyopangwa ni immature na haina dili kwa hapa kwetu.

ila mbona serikali imeajiri watu wengi ndani ya miaka hii 3 pale wizara ya afya wenye taaluma yako, kada yako ni mpya wizarani ila kwa sasa inapewa kipaumbele jaribu kuwa unatembelea Web ya utumishi
Ahsante kwa maoni yako mkuu.

Niliomba mwenyewe na niliipenda hii kozi nikiwa A level niliomba nikijuwa haina soko kwa muda huo lakini nilijitoa mhanga maana ni kitu kutoka moyoni.

Nadhani ni swala la muda tuu. Naona hata kozi nyingine tunasota nao tuu. Nashukuru sana.
 
Hii kazi sio common Sana bongo labda ulaya.
Huku waganga, mitume na manabii wa uongo ndio wamechukua nafasi zenu wanapiga pesa hatari.
Kuwa mganga au mtume na Nabii utapata wateja wengi Sana utachanganya na fani yako utazikimbia pesa.
 
Kadri kiwango Cha ujinga kinavyongezeka ndivyo shida ya afya ya akili inavyoongezka inawahitaji zaidi waganga, mitume na manabii ili waweze kuisaidia jamii kwenye eneo hilo
 
Hii kazi sio common Sana bongo labda ulaya.
Huku waganga, mitume na manabii wa uongo ndio wamechukua nafasi zenu wanapiga pesa hatari.
Kuwa mganga au mtume na Nabii utapata wateja wengi Sana utachanganya na fani yako utazikimbia pesa.
Lakini mbona kuna mashirika mengi tu sema.kujuana kwingi mkuu.
 
Hii kazi sio common Sana bongo labda ulaya.
Huku waganga, mitume na manabii wa uongo ndio wamechukua nafasi zenu wanapiga pesa hatari.
Kuwa mganga au mtume na Nabii utapata wateja wengi Sana utachanganya na fani yako utazikimbia pesa.
Ila ni kweli, nami namshauri ajiongeze kwa kusoma masomo ya bible, atakuwa vizuri katika kuhubiri, kwani atakuwa anacheza na akili za watu na kuwatabilia sana kutokana na elimu yake ya unasihi
 
Ila ni kweli, nami namshauri ajiongeze kwa kusoma masomo ya bible, atakuwa vizuri katika kuhubiri, kwani atakuwa anacheza na akili za watu na kuwatabilia sana kutokana na elimu yake ya unasihi
Mkuu hii ni kweli?

Nifungue kanisa siyo, aisee nina imagine hata sioni pa kuanzia japo kuhusu bible sio mgeni sana nafahamu kiasi maana nimekulia kwenye ukristo ila sio wito wangu kabisa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom