Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 99
Mpeleke veta au cbe akasomee certificate, kuna mdogo wangu alipata D mbili tena english na civics lakini nilienda pale nikaombaomba kisanii lakini akapata, alivyoanza kusoma alisoma kwa bidii sanasana akapata first class badae nikampeleka ifm kamaliza na upper second. kwa hiyo wala usikate tamaa muulize kama yuko tayari anza kama nilivyokuelekeza.
Hiyo imetulia ni wengi wanafanya hivo.