Mkuu, unacho kibali?
Mkuu utaweza kuwapa chakula kufunga wanyama kazi sana, bora Tembo anakula majani Simba je kila siku kilo 5 za nyama
Kaka una ugomvi na mimi? Kama una hao wanyama pumzika kakaHata binadamu ni mnyama,tembo na simba ni majina tu,nenda Songea wapo wangoni wengi unajichagulia tu,tembo,matendo,katembo,litembo,masimba,simba.AKILI ZA MBAYUWAYU CHANGANYA NA ZAKO