Naitaji mfadhili

ladyfurahia

JF-Expert Member
May 10, 2011
14,699
9,462
Habari zenu wanajf

naitaji mfadhili wa kuandaa kitabu changu kwani kuna mambo kadhaa sijamaliza nami naona peke yangu sitaweza hivyo waungwana naomba mnitafutie mfadhili wa kunifadhili shughuli hii hususani upande wa maandalizi ya uzinduzi huu ambayo yanategemea kufanyika december. Hivyo naitaji mfadhili niko serious na jambo hili wanajf
asanteni
 
Hakika watu tumetofautiana jamani. Hivi unajua kuna watu kama hawa nao wanahitaji msaada, tena wa dharura??

starvation.jpg

bp20.jpg

sudan_famine.jpg

draft_lens13187801module117970291photo_1_1283663796Africa_poverty-383x480.png
 
kitabu chenyewe chahusu nini??title ya kitabu?? uzinduzi utafanyika wapi?? na mfadhili atafaidika vipi na huo ufadhili wake??
 
kama utakuwa tayari facilitor nitakuahabarisha ingia basi pm kule nikujibu
 
hasa ningemtangazia nani kule pm wakati watu wako huku hasason nawe
 
sasa wewe ndugu baada ya kunisaidia wewe unaona kuwa mimi najifanya au huna msaada wowote nisingejitangaza ingekuwaje najua hata hao wanaitaji msaada wangu iia nami nitajitoa pindi nikipata huo ufadhili kwani najua
Hakika watu tumetofautiana jamani. Hivi unajua kuna watu kama hawa nao wanahitaji msaada, tena wa dharura??

starvation.jpg

bp20.jpg

sudan_famine.jpg

draft_lens13187801module117970291photo_1_1283663796Africa_poverty-383x480.png
 
sasa wewe ndugu baada ya kunisaidia wewe unaona kuwa mimi najifanya au huna msaada wowote nisingejitangaza ingekuwaje najua hata hao wanaitaji msaada wangu iia nami nitajitoa pindi nikipata huo ufadhili kwani najua

umewaona lakini hao watoto? Si ajabu kitabu kikawa cha mapenzi! Kiache tutakishughulikia baada ya kuwasaidia hawa innocent children, wanatakiwa kula,
 
umewaona lakini hao watoto? Si ajabu kitabu kikawa cha mapenzi! Kiache tutakishughulikia baada ya kuwasaidia hawa innocent children, wanatakiwa kula,

sasa ndugu yaani unafikiri kila mtu ambaye ni author anatunga mambo ya mapenzi tu, ungeuliza kwanza kitabu kinahusu nini ndipo uweze kutoa hayo maneno yako hapo, kwanza kabisa mimi sina interest na mambo ya mapenzi na siwezi kuwa mwandishi mwenye mkazo wa aina moja tu, hichi kitabu hata wewe ukikisoma kitakutoa hapo ulipo na kukupeleka sehemu nyingine katika mstakabali wa maisha yako. :ACHA DHANA POTOFU YA KUWA KILA MWANDISHI ANAANDIKA MAMBO YAHUSUYO MAPENZI"
 
Funguka dada maelezo hayajajitosheleza labda una hitaji kusaidiwa lakini hujajielezea
sasa jieleze wadau wakusaidie lasivyo ninavyowajua watu wa humu watakushambulia tu
jieleze tukuelewe
kuna mtu anaitwa Mwana Mtoka Kubaya ha ha sipati picha aje hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom