Kupanga ni kuchagua na maendeleo hayana vyama. Huu ni usemi maarufu alipenda kuutumia hayati John P. Magufuli mjeshi au jiwe mtu aliependa kuona kitu kinafanyika na kuonekana na sio hadithi.
Kama mnavyojua hizi sikukuu mbili ni balaa tupu. Christamass na mwaka mpya watu huwa wanajiachia kwelikweli na pia sio vibaya siku moja moja kusahau ugumu wa maisha haya yanayozidi kuwa magumu siku hadi siku.
Shule mwaka 2022 zitafunguliwa tarehe 17 January, haitakuwa vibaya sana kama serikali sikivu ya mama ikaongeza wiki moja ili kuwapa afueni wazazi labda watakuwa angalau wameshika chochote mkononi kwa ajili ya mahitaji ya watoto wao.
Maisha ni magumu jamani asikudanganye mtu.