Naichukia sana report ya C.A.G

mwanyaluke

JF-Expert Member
Jan 22, 2015
473
1,450
Tunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha.

Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini
 
Wewe hupendi kulamba asali?

Ngoja nilambe asali unafikiri mwili unajengwa kwa zege

Jitahidin na wewe ulambe asali kama sisi usinge piga hizo kelele
JamiiForums-1234616416.jpg

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Tunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha.

Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini
REPORT YA CAG kwa Mfumo uliopo ni kama RISALA ya MBEO za MWENGE haina MADHARA YOYOTE kwa WATAWALA NA WAPIGAJI WEWE KAMA UPO KWENYE MFEREJI WA KUIBA WEWE IBA
 
Tunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha.

Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini
dont hate the report, hate ambao hawachukui hatua after hiyo report
 
Waliomuweka CAG ndio wanaopaswa kutekeleza/kuchukua hatua.

Pia, waliomuweka CAG hawajampa meno ya kuuma.

Je, utarajie nini?
 
Tunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha.

Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini
Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini
 
Tunakaribia kupata report ya C.A.G, kwa aina ya serikali hii report itaonyesha madudu mengi , waliosababisha hayo madudu watahamishwa vituo vya kazi na kusamehewa na hata kuombwa msamaha.

Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini
 
Huku mimi nikiwa nalipa kodi milions of money, hili limekuwa likiniumiza sana yaani nalipa ili wakafurahie maisha wengine, hili linafanya nichukie sana report ya C.A.G huwa sielewi nini hasa lengo la hiyo report ni nini
Acha kulalama sio kila hoja ni upigaji,ndio matatizo ya hawa misukule ya Chadema aisee,nionyeshe kwenye ripoti mahali CAG alishaandika neno kuwa huu ni uwizi
 
Back
Top Bottom