NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI-Agrey Mwanri aisee huyu jamaa ni kiboko!

Matope

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
892
679
Duh nimekuwa nikimfatilia huyu waziri kwa kweli anafanya kazi hana jina sana Serikalini lkn ni mchapa kazi sana!big up kaka endelea kuvumbua maovu!!!
 
WOW. . . Kumbe Aggrey Mwanri kawa naibu waziri?
Hongera zake kwa kweli.
 
Kwa video ya tukio hilonenda kwenye Channel ya Ughaibuni.com

[video]http://www.youtube.com/user/ugaibuni?feature=mhee[/video]
 
Back
Top Bottom