Naibu waziri wa Elimu bwana mlugo

Mr.Ng'alla

Member
Jun 9, 2012
10
0
Jamani wanajamii forum naombeni CV ya mheshimiwa mlugo, ninamashaka sana Elimu yake na uwezo wake kuongoza.Kwani kunasiku alikaririwa na vyombo vya habari akisema walimu hawastail kukopeshwa fedha na taasisi za fedha.kwani wamekuwa wakitoroka vipindi kukimbia madeni,wakati walimu hukatwa pesa zao kwenye mishahara moja kwa moja.NISAIDIENI JAMANI HIYO CV
 
Haina maana hiyo cv kwani ni feki yote,alikua mwalimu wangu na jina alilokua anatumia sio hilo,sasa unafikiri hayo ma cv yatakua halali kweli.? Kwa magamba fojari ndio mpango mzima
 
Haina maana hiyo cv kwani ni feki yote,alikua mwalimu wangu na jina alilokua anatumia sio hilo,sasa unafikiri hayo ma cv yatakua halali kweli.? Kwa magamba fojari ndio mpango mzima

Mi naiomba hiyo hiyo, ya kufoji jamani nipeni raha mwezenu
 
kuna cku alikua anaongea na wanachuo sehemu fulani akasema nanukuu...'hilo somo la supplementary mtafanya tu..'! Sasa mpaka hapo cv yake yenye somo la supplementary itasaidia kweli!
 
simple CV ni darasa la saba, baadaye akadandia jina la mtu mpaka open university of Tz
 
Katika wizara ya elimu viongozi wote wanaowekwa wana udhaifu uleule, sasa yy na Mwantumu mahiza aliyeondoka wanatofautiana nini?
 
Inasikitisha sana lakini ukweli ni kwamba alifoji cheti akidanganya amemaliza form six ili apate ualimu pale high
land, na hilo si jina lake. Duh! ila aliula baada ya wahindi kwenda Canada na kumwachia shule
 
Back
Top Bottom