Massa
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 652
- 800
Jafo alikuwa manii msanii na mwongo sana. Kuna wakati alisema wameajiri walimu elfu 13 kumbe hata elfu moja hawakufika. Waliweka majina ya waliopo kazini tayari halafu wakaziga na mapya elfu moja. Halafu ajira zilikuwa zinaangalia chama. Ukiwa ccm ilikuwa simple kupata
Uongo kwa wanasiasa ni kawaida sana. Ila tunasema kufatilia na kusimamia yaliyochini ya wizara yake. Ilifikia hadi watu tunamuona anafaa kua mtu mkubwa nchini zaidi ya uwaziri wa tamisemi. Leo hii binafsi ata sijui yuko wapi. Maana anajua mkubwa hatiki kufunikwa kwa utendaji anapenda kusifiwa tu kama binti wa kingoni na sifa ya kuwekewa sindano chini ya kitanda