johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,978
- 141,995
Naibu Waziri mkuu mh Dr Dotto Biteko ameripoti Ofisi ya Waziri mkuu na kupokelewa na PM Kasim Majaliwa
Dkt. Biteko amesema atamsaidia Waziri mkuu kwa Uaminifu mkubwa na anaamini Kupata Ushirikiano wa kutosha kutoka kwa Mawaziri wakongwe na Wabobezi Prof Ndalichako na mh Mhagama
Nimeambiwa Kazi yangu ni my coordinate nami namshukuru mh Rais kwa uteuzi na naahidi nitamsaidia Waziri mkuu kwa Uaminifu mkubwa, amesema Biteko
Chanzo: Upendo TV
Nawatakia Dominica Njema 😄