Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

Hii Adam Malima anazidi kujiabisha
iweje pete zote zivuliwe kwenye vidole vyake na kuibiwa?

Je pete alikuwa amaziacha chumbani?

1.jpg

AdamMalima.jpg

Ndugu Mtanganyika Ulisoma habari yote? tafadhali rudia kuisoma tena utapata hilo jibu; tujaribu kuwa wasomi kidogo tuache kudandia habari na kuziweka humu jamvini - tutaishushia hadhi JAMII FORUM
 
Jamaa alikuja CLUB inaitwa 4star iko maeneo ya Foresty Morogoro na pia ni jirani pia na hotel ya NASHERA ambayo ndiko alikokuwa amefikia... sasa akamua kuondoka na kibududisho kinachofanya shughuli zake pale KAHUMBA BAR na MORO BY NIGHT... Kiburudisho kimeamua kuadhimisha siku ya wanawake vizuri...
 
Usikurupuke mkuu read btn the lines,malima alisema alikua sebuleni anafanya mambo yake that means alikua ajalala,na pia kama alikua anafanya mambo yake navyojua mimi lazima una kilaptop pembeni ukiperuz JF na FB na mitandao mingine,pembeni lazima uwe na simu zako labda unaweza ukapigiwa,haiingii akilini kabisa uwe sebuleni unafanya mambo yako simu 3,pete na laptop zikae chumbani..Malima akubali tu hayo mambo ni ya kawaida cha msingi next tym akichukua mlupo funguo auweke ndani ya boxer na kitanda akiweke mlangoni kabisa halafu wkt wa kufanya game asinyonye kabisa ile chakula ya mtoto kuna cocain pale wanapaka!

Mkuu Kingkong nimekukubali inaonekana umeiva sana kwenye defensive skills after taking mlupo. Inabidi upewe muda wakati bunge likiendelea ukatoe hizi dondoo kwa wakulu manake milupo inakua ya kutosha Dom.
 
mkuu kingkong nimekukubali inaonekana umeiva sana kwenye defensive skills after taking mlupo. Inabidi upewe muda wakati bunge likiendelea ukatoe hizi dondoo kwa wakulu manake milupo inakua ya kutosha dom.

na wewe kumuaibisha mwenzio ni nini ??kwani uzinzi si moja ya mambo ..
 
mkuu nimependa ...hope sio huyu aliemtenda mh ama ndio umezinasa zile picha unaanza kumkaribisha shigongo asilale aanze kuvuta picha kwa ajili ya magazeti yake

huyu anatangaza biashara ya hoteli. nilikuwa najaribu kuonyesha mazingira ya hoteli, ( hasahasa humo ndani ) sio tunajadili kitu ambacho hatujui hata mwonekano wake. naomba usinielewe vibaya.
 
Mi naona kama vile huwa wanatembea tayari kwa lolote na ikiwa vipi basi anatafuta uwanja wowote afu mbele kwa mbele(kusepa)yaani nina maanisha ni kama vile hawajiamini na hali halisi,au we uanaonaje?

Kwa nini mtu usiwe na amani ukiwa katika nchi yako?? kwa nini usiwe na imani na nchi yako? ukiona hivyo ujue hawajiamini na ni kwa sababu ni viongozi ambao wamekuwa "so unpopular" mbele ya wananchi wanaowangoza. na hii ndo sababu tu inayoweza ku-justify walking with a lot of money like that and leaving it just laying anywhere kwa sababu its peanut to them. anytime they can be thrown out wananchi tukiamua.
 
huyu anatangaza biashara ya hoteli. Nilikuwa najaribu kuonyesha mazingira ya hoteli, ( hasahasa humo ndani ) sio tunajadili kitu ambacho hatujui hata mwonekano wake. Naomba usinielewe vibaya.

kibelaaaaaaa niko nyuma yako ati ..nilimaanisha nimeipenda marketing yako atiiii
mie nshapata million kuminatano ya adam weeeeweeeeeee wangoja nini??????doller 4000
laputop 3...kibela na mambo kem kem kwenye begi achilia picha zake akiwa na naniino ..
Mpwa nimeelewa hiyo ni adv ya hotel kwa kweli hata pesa zetu za richmond zinafanya kazi jamani naomba waliofungua kesi ya richmond naomba waifunge kabsa maana maendeleo yanaonekana mpaka yanapitiliza kutuaibishia waheshimiwa wetu
 
Ndugu zangu huyu naibu waziri alichojaribu kufanya baada ya yaliyomtokea ni kujaribu kupika uongo ili ajaribu kuokoa ndoa yake na pia kibarua chake....ukweli ndo huo.....kwanza kwa hali inavyoonekana hata hizo thamani za fedha na mali iliyoibwa kuna uwezekano mkubwa kuwa amepunguza thamani ya jumla ili kupunguza kelele za watanzania........kuna uwezekano mkubwa thamani halisi ya mzigo ulioibwa kuwa kubwa kiasi cha kushtua......maana haingii akilini kuwa eti mtu unajifungia kwenye chumba cha laki 4 kwa siku huku ukiwa na AK-47 na pisto juu......we unalinda nini bana!!!...unakaa na hizi silaha ili ulinde dola 4000 na laptops????big noooooo!!!..alafu unakaa na cash ndani!!!!!tena nyingine ume change kabisa kuwa dola!!!.....na passport ju!!!........nina hakika kwenye moja ya hayo mabegi kulikuwa na mzigo wa nguvu wa madini........i can bet on this.....believe me....hapa madini yetu yalikuwa yanasafirishwa nje ya nchi tu hapa..si bure.....watanzania tujifunze kufikiria nje ya box....mengi tutayajua kuhusu hawa viongozi wetu........watu wamebaki kujadili ngono tu hapa lakini wamesahau bigger picture......mnamkumbuka yule waziri aliyeenda south africa kwa jina la bandia???????????
 
kwa nini mtu usiwe na amani ukiwa katika nchi yako?? Kwa nini usiwe na imani na nchi yako? Ukiona hivyo ujue hawajiamini na ni kwa sababu ni viongozi ambao wamekuwa "so unpopular" mbele ya wananchi wanaowangoza. Na hii ndo sababu tu inayoweza ku-justify walking with a lot of money like that and leaving it just laying anywhere kwa sababu its peanut to them. Anytime they can be thrown out wananchi tukiamua.

mkuu nenda hata marekani /south afrika akuna mlupo unaoamini kadi hata siku moja mpwa
cash /cash ndio maana wengine kuvutia uje sikunyingine wanatembe ana pesa so wakizitoa dola mia ndani ya 4000 unajua aise kumbe naweza kulitumia mwezi hili jamaa ..hiyo ni moja ya njia za kibiashara kuwakaribisha wageni..sitaki kumlaumu sana maana sio yeye wanaume wengi wana tabia hiyo ila hizi zake zilipitilza idadi maan naamini hata angempa dolla 350 kwa siku kitu ambacho akiwezekani unless baada ya shuguli hiyo naniino ya binti inatoa mawe ya barrick..angekaa zaidi ya siku nane....
 
ndugu zangu huyu naibu waziri alichojaribu kufanya baada ya yaliyomtokea ni kujaribu kupika uongo ili ajaribu kuokoa ndoa yake na pia kibarua chake....ukweli ndo huo.....kwanza kwa hali inavyoonekana hata hizo thamani za fedha na mali iliyoibwa kuna uwezekano mkubwa kuwa amepunguza thamani ya jumla ili kupunguza kelele za watanzania........kuna uwezekano mkubwa thamani halisi ya mzigo ulioibwa kuwa kubwa kiasi cha kushtua......maana haingii akilini kuwa eti mtu unajifungia kwenye chumba cha laki 4 kwa siku huku ukiwa na ak-47 na pisto juu......we unalinda nini bana!!!...unakaa na hizi silaha ili ulinde dola 4000 na laptops????big noooooo!!!..alafu unakaa na cash ndani!!!!!tena nyingine ume change kabisa kuwa dola!!!.....na passport ju!!!........nina hakika kwenye moja ya hayo mabegi kulikuwa na mzigo wa nguvu wa madini........i can bet on this.....believe me....hapa madini yetu yalikuwa yanasafirishwa nje ya nchi tu hapa..si bure.....watanzania tujifunze kufikiria nje ya box....mengi tutayajua kuhusu hawa viongozi wetu........watu wamebaki kujadili ngono tu hapa lakini wamesahau bigger picture......mnamkumbuka yule waziri aliyeenda south africa kwa jina la bandia???????????

nimetafuta kidubwasha cha like nikakutana na cancel nikawa hoi....
Mpwa nahisi kama si ulimaliza la saba havard basi babu yako mzaa babu alisoma hapo...masikitko yangu aliepa wazo la kujitangaza hivi alikose akumpa mbinu zakuongea na hata kutangaza kilichoibiwa..ni kweli nenda kaulize pale hotelini wanakwambia akuna kilichovunjwa hayo mlioyaona ni ombi kwa hotel na imsaidie kujieleza serikalini ameibiwaje ....maana inasemekana kuna mzigo mkubwa wa docs zenye uchafu wao naomba nipe muda si mrefu utarudi kuwa mpenzi wa mwanahalisi na raia mwema na kama mwananchi watajibeba utalipenda na mwanachi ......na aibu ilioje baada ya kuonekana imevunjwa ni yeye ndie ametoa pesa za kutafuta fundi aje kurekebisha..nahis uzinzi ni dhambi chafu kuliko zote lakini nahisi huyu atakuwa amepitiliza dhambi ya uzinzi ndio maana shetani kaamua kumuaibisha

unajua kuna dhambi unaingia na mwanamke ndani shetani akijua ndio hiyo anaishia mlangoni BAADA YA KUSOMA
"""""""""""""""PARKING ON YOUR OWN RISK"""""""""""""""" nahisi jamaa akaamua kujipiga kufuli na dhambi yake shetwani akasema sikuachi iiiiiiiii loh umepata nguvu wapi dhambi hii haata mie naiogopa sembuse we uko duniani

usiniulize ipi tafadhali
 
Hata mjini ukiona sehemu unalipia parking bado unakuta parking on ur own risk kama una laptop kimbia nayo fasta ...umeacha kimeo hicho nahisi hii itakuwa fundisho kwa wale wenye michezo michafu na sijuikama mkewe ajajiunga na jf siku ya leo .
.else ndoa yake wish all the best
 
Hivi haya matangazo yoooote ya CRDB, NMB, DTB, Exim, NBC, nk hayajawafikia viongozi wetu? Kila siku tunaambiwa kuna VISA na Mastercard ili kupunguza mambo ya kubeba mihela lakini unakuta mtu ana $4000 na madafu kibao cash za nini?

Marketers wa mabenk yetu fanyeni kazi ya kuchukua pesa hizo toka kwa wateja inaoneka ziko nyingi mikononi mwao.
 
Ni wazi sasa kwamba kicheche amesepa na documents muhimu na za siri ndiyo maana naibu waziri amepaniki hivi.
 
Habari zilizopatikana sasa hivi zinasema Naibu Waziri Adamu Malima ameibiwa kila kitu ktk hoteli ya Loshera mjini Morogoro. Hadi sasa bado yuko ndani ya chumba cha hiyo hoteli hajatoka nje. Inasemekana hata nguo alizoavaa amesaidiwa tu na wasamaria wema.

Yaleyale ya mawaziri kuendelea kuumbuka ugenini!

Manjagu bado yanafuatilia issue hii nzima!

Source: Radio One, muda 13:14 pm

Hoteli yenyewe ndio hii hapa kama inavyoonekana

View attachment 48953

Hii hapa tena

View attachment 48954

kwa mlinzi getini

View attachment 48955

WAZIRI+MALIMA+KWENYE+KANZU..JPG
mbona dirisha lenyewe,halionekani kuvunjwa au forced entry?? au sio lenyewe??? nimeitoa kwa michuzi loh

Mkubwa wangu picha hii inakuruhusu kusema nadharia yoyote itakuwa sawa isipokuwa ile ya kudhani kuna mwizi kutoka nje! Nadharia zote zimesemwa ila bado hii: Bwana mkubwa amekaa hapo kwa siku zaidi ya mbili. Inawezekana dada poa aliyejilipa pakubwa na kumtia adabu mheshimiwa alikuwa naye siku zote alizokuwepo pale, ila alikuwa "ANAMKOPA" Akidhani atalewa sifa ya kuwa na mheshimiwa! kumbe hapendwi mtu!
 
:lock1:NEVER SHARE INTELLIGENCE either U NEED 2 SHARE:lock1: nathani TUMWATUMWA walikua wametimiz mashart kua wasimwambie kama MAZIWA YA WATOTO WACHANGA NI SUMU KUYATUMIA UKIWA MORO!!!
 
malima muongo sana .....hataki kusema ukweli kuwa ameibiwa na inaonekana huyu alikuwa na madini....hiyo kanzu kapewa
 
anasema alikuwa sebuleni anafanya shuguli zake .....hahahha..huu ni uongo..


ukiwa sebuleni unafanya shughuli zako maana yake lazima utakuwa na laptop, pete utakuwa hujavua, silaha itakuwa karibu simu zitakuwa pembeni hapo ...nampa changamoto aseme pale sebuleni alikuwa anafanya nini?.je aliwaonyesha waandishi makabrasha aliyokuwa anafanyia kazi?..huyu aseme tu kuwa kalizwa na dada poa wa kahumba...majibu yake hayajitoshelezi..huwezi kuwa sebuleni halafu vitendea kazi viko chumbani halafu unadai pale sebuleni ulikiwa unafanya shughuli zako....

anaongopa ili kujitetea kwa watanzania wamuone kuwa ameibiwa na wezi.........

pale morogoro pale Ak-47 ya nini pale na bastola juu? dola 4000 na 1.3 tsh taslimu za nini zote hizi wakati kuna mabenk kibao?...huyu asema ukweli kuwa pale alkuwa anafanya biashara ya madini na ameuza meningine na mengine ndo hayo yameibiwa.....

huwezi kuwa na Ak 47 na bastola juu eti unalinda laptop mbili na dola 4000...hii kitu haipo...huyu alikuwa na madini huyu......
 
anasema alikuwa sebuleni anafanya shuguli zake .....hahahha..huu ni uongo..


ukiwa sebuleni unafanya shughuli zako maana yake lazima utakuwa na laptop, pete utakuwa hujavua, silaha itakuwa karibu simu zitakuwa pembeni hapo ...nampa changamoto aseme pale sebuleni alikuwa anafanya nini?.je aliwaonyesha waandishi makabrasha aliyokuwa anafanyia kazi?..huyu aseme tu kuwa kalizwa na dada poa wa kahumba...majibu yake hayajitoshelezi..huwezi kuwa sebuleni halafu vitendea kazi viko chumbani halafu unadai pale sebuleni ulikiwa unafanya shughuli zako....

anaongopa ili kujitetea kwa watanzania wamuone kuwa ameibiwa na wezi.........

pale morogoro pale Ak-47 ya nini pale na bastola juu? dola 4000 na 1.3 tsh taslimu za nini zote hizi wakati kuna mabenk kibao?...huyu asema ukweli kuwa pale alkuwa anafanya biashara ya madini na ameuza meningine na mengine ndo hayo yameibiwa.....

huwezi kuwa na Ak 47 na bastola juu eti unalinda laptop mbili na dola 4000...hii kitu haipo...huyu alikuwa na madini huyu......
Naunga mkono mtazamo huu kwa asilimia mia mbili hamsini.
 
Nothing so conclusively proves a man's ability to lead others as what he does from day to day to lead himself. Malima you have proven you lack the qualities of a leader.
 
Hivi haya matangazo yoooote ya CRDB, NMB, DTB, Exim, NBC, nk hayajawafikia viongozi wetu? Kila siku tunaambiwa kuna VISA na Mastercard ili kupunguza mambo ya kubeba mihela lakini unakuta mtu ana $4000 na madafu kibao cash za nini?

Marketers wa mabenk yetu fanyeni kazi ya kuchukua pesa hizo toka kwa wateja inaoneka ziko nyingi mikononi mwao.

Mkuu hapo utakuta na zingine nyingi wamechimbia ndani
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom