Naibu Spika Job Ndugai amtoa nje Mbunge wa CCM kwa siku tatu

Ndugai anaongozwa na emotions kuliko logic! Ameniudhi sana leo coz ni wanawake tu ndio huwa wanaongozwa na hisia. Kiukweli kaonyesha female character katika kulishughulikia suala la Ndugulile.

Ndugai amekaa kwenye tumbo la wanawake ambao umewahusisha na kuongozwa na hisia labda ndio maana amerithi kuongozwa na hisia. wewe uliyekaa tumboni kwa baba yako una bahati maana ungekaa kwa mama yako huenda nawe ungeongozwa na hisia...una bahati sana kutungwa tumboni mwa baba yako na hatimaye kuzaliwa nae yaani mko wachache kweli mliobahatika hivyo....

liwalo na liwe
 
Sina shaka kabisa ipo siku Ndugai ama atapigwa au kutukanwa live Bungeni. Ndugai na Wenyeviti wa Bunge wanapwaya mno, wana maneno ya kuudhi kwa Wabunge tuliowachagua. Ndugai, kama kweli ametoa kauli kuwa Wana Kawe wamechagua kituko ni tusi kwa wananchi na Bunge linapelekwa kusiko kabisa na Naibu Spika na Wenyeviti wa Bunge hasa Mabumba.

huyu jamaa yuko kichama zaidi
 
CCM waanze kuficha hazina ya silaha badala ya mijihela bcoz 2015 wao ndo watakuwa msituni!
 
Wamakonde wanasema AJAWILE SOMO, yaani imetoka hiyooo au baibai ndhani ndo ccm wanatuaga wakielekea home kwo Mabwepande
 
ndugai safi sana lazima wabunge wafuate kanuni na kuacha kubwabwaja!

Kweli wewe mrembo wa kati,sasa si uende ukagombee urembo wa kijijini kwenu tu,maana sikioni unachoshabikia hapo madudu matupu,na nina hakika nyie wa huko Kongwa ndio vituko pamja na hilo garasa lenu lenye hisia za kike,halafu majimbo yanayoanzia na 'KON' maana hata KONDOA nako problem they are not in reality facts but for their own benefits na hao wakubwa zao.
 
Sasa baada ya ninyi wote kuandika kila mtu ajuavyo, ninaomba ajitokeze mwana-JF mmoja aeleze nini kilichotokea bungeni. Jamani tusiwacheke wasiojua kusoma na kuandika huku sisi wenyewe hatuwezi kumuelezea jambo fulani mtu anayejua kusoma na kuandika. Naomba mmoja atueleze vizuri
 
mkuu heshima kwako. Nimetoa sababu kuwa ni kushindwa kuthibitisha kauli yake kuwa serikali imehonga madiwani wa Kigamboni.
Atathibishaje wakati aliyewahonga yupo?
Tibaijuka ndo aliyemwaga hongo ya kuwatembeza mamto na padiem juujuu, ndo angetakiwa afafanue walichoenda kufanya.
 
Ndugai ameonyesha kuwa ni mtu mwenye busara finyu sana kama anazo. Hawezi kumtukana mbunge mwenzake hadharani namna ile! Hawezi kuwakashfu wana Kawe na akaachwa hivi hivi! Tabia hii na kiburi chake vinalindwa na nani?

Hakika anapaswa kupimwa akili!
hivi kumuita mtu kituko sio lugha ya kuudhi? au kiti cha spika kipo juu ya kanuni za bunge??
 
Mkuu sijakuelewa. Mheshimiwa Ndugai ni Yesu wako?

sio yesu wangu ila nimesikitika na kauli ya huyo mkuu kwa muita punga ndugai nimeshangaa sana kama ni kweli itakuwa ni balaa ndio maana nimemuita yesu wangu atuepushe na hili balaa,
 
Hakika Bunge hili kwa ukada huu, kwani Ndungulile alisema kuwa madiwani wa Kigamboni waliletwa bungeni na waziri na hiyo ni rushwa ili waweze kukubaliana naye kuhusu mradi wa mji mpya Kigamboni ambao umewafanya wananchi washindwe kujenga kutokana na kukosekana kwa fidia na kuzuiowa kuendelea na ujenzi.

Badala ya Ndugai kumpeleka Ndungulile kwenye kamati ya maadili anampa adhabu bila kumpa nafasi ya kujitetea , mbona hakupewa siku saba kuonyesha jinsi ambavyo waziri alikuwa amewahonga madiwani hao wa Kigamboni?

Ngugai alichokifanya ni kutimiza kile alichokuwa nacho kichwani na kwa mtazamo kuwa Mh. Ndugulile amakitega mgongo chama chake na si kutokana na kile alichokisema Mh. huyo.Nina kubaliana nawe katika hii.
 
Back
Top Bottom