Mphamvu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 10,702
- 3,288
Ni wimbo huu.
Jamaa anaitwa Omari Dimples akishirikiana na Ali KIBA. Video yake ni nzuri sana, ina pozi tofauti miksa costume za humo sio zile za ki-Cabo Snoop, something I like, pia Kiba na Omari wamecheza vizuri na kamera miksa vocals za hatari sana.
Tatizo langu lipo kwenye model wa video, hana kabisa viwango vya wimbo wenyewe, to be honest!
Ni demu wa kawaida, anaonekana ameenda umri kuliko kawaida, halafu amejichubua plus muonekano wa kikahaba, she ruined the video kwa kweli.
Tuishie hapo, next time nitawaeleza jinsi Hemed Ph.D alivyoboa kadiri ya uwezo wake.