Nai Nai

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
Ni wimbo huu.
Jamaa anaitwa Omari Dimples akishirikiana na Ali KIBA. Video yake ni nzuri sana, ina pozi tofauti miksa costume za humo sio zile za ki-Cabo Snoop, something I like, pia Kiba na Omari wamecheza vizuri na kamera miksa vocals za hatari sana.
Tatizo langu lipo kwenye model wa video, hana kabisa viwango vya wimbo wenyewe, to be honest!
Ni demu wa kawaida, anaonekana ameenda umri kuliko kawaida, halafu amejichubua plus muonekano wa kikahaba, she ruined the video kwa kweli.
Tuishie hapo, next time nitawaeleza jinsi Hemed Ph.D alivyoboa kadiri ya uwezo wake.
 
Napita tu vijana hayo ni mambo yenu yakiujana mimi ni mzee wa rumba na zilipendwa amingo- les wanyika hapo sasa ulizo chochote
 
Mbona mi nahisi yule dada ndo kawapendezeshea wimbo!?kwanza,she is cute afu very confident
 
Mbona mi nahisi yule dada ndo kawapendezeshea wimbo!?kwanza,she is cute afu very confident

cute?
Nadhani hukumwona Young Lulu katika video ya Kagomas ya Mbati, she was cutie at the time.
Afu hii song ni top song kwa sasa, top song goes with top models...
Yule hata sijui nimsemeaje, kifupi haendani na ile video.
 
Vinega watatoa Yao lini..? Can't wait .. AMA hawana mashairi ya kuimba kwenye screen..?
 
Vinega watatoa Yao lini..? Can't wait .. AMA hawana mashairi ya kuimba kwenye screen..?

sidhani kama vinega wana project ya video hivi karibuni. Wale hawalengi kuuza, ila kuwaelimisha watu.
 
kwanza palikua hamna haja ya ph.d kwenye ile mambo

yeah.
Ametia uchafu kwenye video yenyewe, ukizingatia past reaction zake na mtazamo wa wastaarabu dhidi yake.
I agree with you.
 
loh! sijui sura but ako na ushape mzurii sana katupia leggin imemtoa haswaa!

labda mimi ndio sifahamu shape nzuri, anyways ni maoni yako.
Kuna ile scene anavutwa makalio karibu huku akiyatingisha, Ph.D akimtazama kwa mshangao.
It is a boring scene in the whole video...
 
Back
Top Bottom