Nahitaji viatu vya shule kwa wingi

DALALI MKUU

JF-Expert Member
May 7, 2022
1,487
2,739
Hello wakuu nahitaji viatu vya shule pair 300 vya bei nafuu Kwa kituo Cha kulelea watoto yatima nataka nikatoe msaada. Bajeti yangu Kwa Pair Moja ni 10k naomba anayejua chimbo aniunganishe. Mm PM yangu siwezi ku access labda unitumie hapa location au namba nitakutafuta.

Nahitaji Kwa kesho au keshokutwa. Biwe vyeusi. Mm Niko DSM ila had Jumatano nitaondoka nataka nivipeleke mkoan Kilimanjaro.
 
PM yako haipatikani Mkuu no reply
 
ndio maana nimesema ina shida siwezi ku acces. yaan mtu akituma kitu siwezi kufungua ndio maana nikasema hapa watu watume hapa hapa
[/QUOT Reinstall app upya itakaa sawa,toka uje Mwanza na kuondoka cjapata ule mzigo mkuu tumepishana
 
Hello wakuu nahitaji viatu vya shule pair 300 vya bei nafuu Kwa kituo Cha kulelea watoto yatima nataka nikatoe msaada. Bajeti yangu Kwa Pair Moja ni 10k naomba anayejua chimbo aniunganishe. Mm PM yangu siwezi ku access labda unitumie hapa location au namba nitakutafuta.

Nahitaji Kwa kesho au keshokutwa. Biwe vyeusi. Mm Niko DSM ila had Jumatano nitaondoka nataka nivipeleke mkoan Kilimanjaro.
Kama unaenda kilimanjaro nenda kanunue mnada wa memoria yaani viatu ni vizuri na ni very cheap utakuja kunishukuru badae. Mnada upo moshi mjini ulizia tu ukifika utaonyeshwa
 
Mimi sijui chimbo la viatu ila namtukuza Mungu kwa ajili yako na nia yako njema ya kujali wahitaji. Mungu, yeye aonaye sirini atazidi kukujalia na kukupa vingi kwa sababu unao wengi pia wa kuwapa.....Amen
 
Hello wakuu nahitaji viatu vya shule pair 300 vya bei nafuu Kwa kituo Cha kulelea watoto yatima nataka nikatoe msaada. Bajeti yangu Kwa Pair Moja ni 10k naomba anayejua chimbo aniunganishe. Mm PM yangu siwezi ku access labda unitumie hapa location au namba nitakutafuta.

Nahitaji Kwa kesho au keshokutwa. Biwe vyeusi. Mm Niko DSM ila had Jumatano nitaondoka nataka nivipeleke mkoan Kilimanjaro.
Nicheki whatsap 0719039004
 
Back
Top Bottom