Nahitaji Samsung Galaxy S4 mpya

Mpendasifa

JF-Expert Member
Dec 4, 2013
277
110
Wakuu nahitaji kununua simu tajwa hapo juu, iwe ni orijino na mpya bajeti yangu ni laki 6 (Tshs.600,000/=). Mwenye nayo anipm namba yake tufanye biashara.
 
S4 Mini Full boxed sealed. Tshs 450,000/=


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Wakuu nahitaji kununua simu tajwa hapo juu, iwe ni orijino na mpya bajeti yangu ni laki 6 (Tshs.600,000/=). Mwenye nayo anipm namba yake tufanye biashara.

Me ninayo S4 mini original from uk, itachukua siku 7 mpaka ww kuipata, kama vp ni pm tufanye biashara..!
 
zipo s4 mpya kabisa na all accessories kwa sh. 600,000/= original jwa anaehitaji nicheki via 0716651695
 
impossible impossible impossibleeeeeeee
impossible kwako wewe angalia uzi nloutoa kuhusu simu check na bei nilizoandika watu wanajipatia simu original kwa bei rahisi wewe unasema impossible impossible .km huamini nitafute via 0716651695 uje uone mzigo
 
S4 imetumika miezi 2 bei 550,000 nakupa chaji na headphone mpy ImageUploadedByJamiiForums1409550090.781810.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom