Nahitaji PES 2018 for PC games

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Jul 10, 2022
914
1,128
Ehe Wapwa habari za usiku Huu harakati za kumtafuta maokoto zimekuwa Nyingi kwelikweli Nimeona weekend nijipumzishe na movies lakini pia na games

Kwa yeyote kweye games za mpira ningependelea zaidi pes 2018 for pc anicheki

Location gongo la mboto, banana, pugu, Mombasa, moshbar kama maeneo haya itakuwa poa sana kama unacharge weka dau lako

Karibuni hapahapa na Dm pia.

PXL_20240318_115948160.MP.jpg
 
Back
Top Bottom