Nahitaji mwenza wa maisha.

why are you so much interested with this gender issues?au ckutoshi?

here we go........
analake jambo huyu.....hataki hata kufanya assumption being given the name........mmmh!!
 
B am gud!!! ila wasukuma bana wananichanganya, I was about to bring the chapa ya n'gombe home aaaaaaaaaaaaah makomplikesheni tena......

nina hamu na wewe B duh!!!! do ze needful ze soonest plz!!!

worry not B

Sasa ndo ujiandae kuwa na wageni wasiokauka hommie kwako B, ndo maua yenyewe ya boga lako hilo!
 
Mh!, da sophi, kweli umeamua, ila hongera kwa uamuzi wako wa kutafuta mwenza wa maisha, mungu akubariki, na karibu kwenye kambi hii ngumu ya mke na mume. Maana unaweza kuamka asubuhi maudhi yakakufanya ushindwe kula siku nzima! Hilo ni moja tuu! Ila yapo lukuki, unachotakiwa kufanya ukimpata ni kukaza buti na kuwa mvumilivu.
 
worry not B

Sasa ndo ujiandae kuwa na wageni wasiokauka hommie kwako B, ndo maua yenyewe ya boga lako hilo!

sina tatizo kabisa na hilo
ila dada zao wabehave tu, sitaki mawifi wagombanishi mie a.k.a wenye gubu..............
 
Miss you too carmel....hebu endelea kutafuta basi ka avatar kengine ee baby

Afu carmel bila avatar jameni nashindwa kutambua uwepo wake
sijui klorokwini akija itakuwa vipi???
 
Habari zenu wana jamii forums.
Jamani mwenzenu nahitaji mwenza,umri unanituma mkono.
>Umri wowote ule isiwe zaidi ya 50.Mie nina 29 years old almost kama 30 hivyo naona umri unakimbia.

>Awe na dini yoyote, mie muislamu ila naweza kubadili dini nikipata mkristo.

>Elimu atleast awe na bachelor, mimi nina masters.

>Awe mtu anayejipenda, i mean awe smart.

Sina mengi zaidi ni hayo tu.Mwenye sifa atume maombi.
Sista Sophia, kuna tuhuma kule kwa AK hebu kafafanue teh teh teh teh.:confused:
 
Dah haya maombi sasa yamezidi ukiwafuata wanakuwa mabubu sasa sijui wanafanya utafiti au vp?
 
Dah haya maombi sasa yamezidi ukiwafuata wanakuwa mabubu sasa sijui wanafanya utafiti au vp?

.....he!he!he! hommie takuwa aina za nyimbo nini?...jaribu taarab kidogo.....
icon10.gif
 
Dah haya maombi sasa yamezidi ukiwafuata wanakuwa mabubu sasa sijui wanafanya utafiti au vp?

Halafu wengi wao unakuta ana post 6.............lazima ni wazoefu tu wanaobalidi ID ili kupima akili za watu humu! :)
 
Njoo Kigoma Sofia kuna wanaume wanahitaji wake huku Ujiji........Pia weka picha yako tuione........ila unanitisha eti umeamua kutafuta kwa wana JF ina maana hujawahi kupata hata kuombwa........
 
kama kweli uko serious jitoe muhanga kwa kuweka mobile yako hapa, i'm sure watakupigia wengi sana itakusaidia kupata sample space kubwa ya wewe ku choose then you go.

Kila la kheri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom