Nahitaji mwenza wa kike aliyeko serious

Semahengere

JF-Expert Member
Nov 29, 2020
1,186
1,955
Salaam! Mimi ni kijana wa 44 years Mjasiriamali
Niko Arusha

Nimekaa kwenye ndoa miaka 16 ila ilikuwa ni ndoa yenye vioja vingi sana
Na hatimaye tukaachana rasmi

Nina watoto 3
Maisha yangu ni ya uchumi wa kati kama Tanzania vile

Nahitaji Dada mzuri wa umri wa si chini ya 30 - 40
Asiwe Mchaga kabisa hili ninasisitiza ASIWE MCHAGA.

Awe mweusi au maji ya kunde
Mrefu au wastani
Mkristo / Akiwa Muslim awe tayari kubadilika.

Mpambanaji(ambae nikimpa mtaji anaweza kufanya biashara)
Asiwe na mambo mengi

NB; Haina maana unakuja kukaa na watoto wangu hapana
Watoto wako na Mama yao.
Aliye serious tuwasiliane PM tafadhali
 
Mimi uwa nawazaga ujinga nacheka, nawaza mfano kama ID zamani ya.mtu fulani iweke bandiko kama hili itakuwaje?

Je ni ID wa mtu gani unatamani iweke bango😂😂 la namna hii?
 
Kijana miaka 44? Sisi wenye 30 ni watoto basi.

Unatafta mdada wa miaka 40, kuna mdada wa miaka 40 kweli?

Mwanamke kuanzia miaka 30 huyo ni mmama sio mdada.

Mkuu kwanza kubali kwamba umeshatoka barabarani, wewe unatakiwa ukapate chanjo ya covid maana ni umri hatarishi usijipe matumaini eti wewe ni kijana.

Wenzako waliooa na miaka 20 ama 24 wana wajukuu wewe bado unajifariji wti ni kijana. Aisee.
 
Duh si kwa madongo haya, ila naye 44 kijana kweli ama mbaba huyu😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom