Nahitaji mpishi haraka

Ambassador

JF-Expert Member
Jun 2, 2008
933
75
Assalamu alaykum waungwana. Natafuta mpishi mzuri anayeweza kupangilia menu za aina mbalimbali kwa ajili ya mgahawa wa kisasa ulioko Kinondoni. Mwenye taarifa au contact za mtu kama huyo anaweza kunirushia hapa au kunitumia PM. Natanguliza shukurani.
 
tangaza mshahara nikupe contact
 
Waleykhu Msalam.Jina Naitwa David Isaac.Ni Chef Cooker Niliyefanya Kazi Kwenye Hizi Hapa.New Africa Hotel,nextgen Hotel,na Blue Pears Hotel.Nimesoma Kwenye Vyuo Hivi.Veta Vocation Training,na Njuweni Institute .Nimesoma Foodproduction Peke Yake.Nimepika Vyakula Vya Aina Tofauti Tofauti.Namba Zangu Hizi Hapa.0672093703
Hebu angalia tarehe ya thread mkuu.
 
Waleykhu Msalam.Jina Naitwa David Isaac.Ni Chef Cooker Niliyefanya Kazi Kwenye Hizi Hapa.New Africa Hotel,nextgen Hotel,na Blue Pears Hotel.Nimesoma Kwenye Vyuo Hivi.Veta Vocation Training,na Njuweni Institute .Nimesoma Foodproduction Peke Yake.Nimepika Vyakula Vya Aina Tofauti Tofauti.Namba Zangu Hizi Hapa.0672093703
Kwann ukiacha kazi kwenye hizo hotel na sasa uko mtaani unahangaika
 
Back
Top Bottom