Nahitaji mkulima au muuzaji nafaka mwenye stock ya kutosha ya zao la dengu

The Certified

JF-Expert Member
Feb 10, 2016
910
773
Habari,

Wakulima na wauza mazao, nahitaji mkulima au muuzaji nafaka mwenye stock ya kutosha zao la dengu tuwasiliane mara moja.

Asante sana.
 
Habari,

Wakulima na wauza mazao, nahitaji mkulima au muuzaji nafaka mwenye stock ya kutosha zao la dengu tuwasiliane mara moja.

Asante sana.
Ungetoa maelezo ya kutosha,uko wapi na unaitaji tani kiasi gani na bei unanunuaje kwa kg na mawasiliano yako.
Ngoja waje wenye stock.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom