Nahitaji mkopo sh 1.5 million

Wanna bodi hivi ntapata wapi mkopo wa million MOJA na NUSU Kuna magunia ya mpunga nataka nikayanunue nije nikoboe naweza pata faida ya laki 4..dhamana nna pikipiki mbili ...nawasilisha
Tukipata watu wenye mtazamo huu....tutainua TAIFA
 
Huwa mnaponda habari za vicoba una mke aingie kwenye kicoba shida ya mill 1 mpaka 5 unakopa zako kwa riba ya asilimia 10 hakuna dhamana wala nini
 
Back
Top Bottom