Squidward
JF-Expert Member
- Jul 21, 2014
- 6,961
- 7,984
Huyu hata bure sichukui
kwanini mkuu unaweza ukaongezea nyama hapo
Huyu hata bure sichukui
Hawa mbwa wengine wanasura mbaya km yule nani hii
Huyu hata bure sichukui
Picha za Pitbull ni hizi hapa
kwahiyo chagua mwenyewe
http://4.bp.blogspot.com/-zWpmlAFOTA4VPDXX hii picha umegoogle mkuu[/QUOTE]
Du wamenona aje!hii kitu .........hii kitu bwana, waulize Wahehe!
Picha za Pitbull ni hizi hapa
kwahiyo chagua mwenyewe
Bei gani na wana umri gani mkuumkuu mimi nao nawauza nitafute, tena yote madume