Nahitaji mashine ya ps4 Mwanza

Ritchy Breezy

JF-Expert Member
Dec 9, 2020
391
579
Nahtaji mashina ya ps4 used, ikiwa mpya pia tutazungumza kama bei itakua rafiki kwangu.

Kwa aliyenayo nje ya Mwanza, nalipa baada ya kupokea machine pia isiwe na changamoto yoyote kuanzia pad zote adi machine yenyewe.

Nipo Mwanza.
0767911491
 
Mim mashine ninayo naitumia tu ndan kama upo seriously nitakuzia kwa laki 6 na 50 ikiwa full na pad zake nipo dar
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom