Nahitaji Marine Boards na Milunda

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Ninahitaji marine boards na milunda kwa ajili ya ujenzi, ninafahamu hivi vitu huwa vinatumika mara moja.

ninajaribu kupunguza gharama za ujenzi kwa hiyo natafuta milunda na marine board zilizotumika, kukodi au kununua. kama unazo na uko Dar Es Salaam, tafadhali nishtue au niPM
 
Back
Top Bottom