Nahitaji mafuta ya nazi (coconut oil) kwa ajili ya dawa

Mb-one

JF-Expert Member
Aug 14, 2011
882
1,282
wakuu nahitaji kupata mafuta ya Nazi kwa ajili ya dawa...kwa kunywa si Yale ya kupaka..yawe hayajachakachuliwa...nitashukuru wakuu
 
wakuu nahitaji kupata mafuta ya Nazi kwa ajili ya dawa...kwa kunywa si Yale ya kupaka..yawe hayajachakachuliwa...nitashukuru wakuu

Kuna nazi chuja halafu ilaze. Kesho tui na maji vitajitenga chukua tui lililoganda chemsha baada ya muda utapata mafuta safi ya nazi
 
nenda kwenye maduka ya waarabu,k.koo pale soko kuu ukitokea upande wa chini kama wa kupanda magari ya mwenge wanakuwaga na spice nyingi pale uwzi kukosa
 
nenda MIKOCHENI AGRICULTURAL RESEARCH INSTITUTE(MARI),,,wanapaita minazi wanauza mafuta ya nazi inayotoka kwenye shamba lao la minazi lipo bagamoyo,,ukifika mwenge unaelekea njia ya coca-cola opposite na KONOIKE
 
Kama unataka ambayo hayajachakachuliwa, fanya mwenyewe kama nilivyokuekekeza. sio kazi kubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom