Nahitaji kuwasiliana na Waalimu wa Jangwani Sekondari...

Mtoboasiri

JF-Expert Member
Aug 6, 2009
5,101
1,948
...wa kike na wawe na at least first degree. Anaemfahamu japo mmoja ANI-PM tafadhali. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
Mmeanza! Hamna dogo watu nyie?!
Kama uko serious, nahitaji candidates kwa ajili ya data collection ila sipo Dar na official channels zinani-frustrate!

Sasa kwa nini unasisitiza walimu wa kike wa Jangwani? Ummezingatia vigezo na masharti gani?
 
Assuming wewe ni mwanaume, unaweza kumuuliza mwanafunzi kama akiwa period anapata shida ya concentration kwenye masomo yake? And if you are a man and stupid enough kuuliza swali la jinsi hiyo, unadhani wanafunzi wangapi wahusika watakupa jibu sahihi?
 
Kwani wakiume hawawezi kukupa details??

Back
Top Bottom