ISHERUHINDA
New Member
- May 5, 2011
- 3
- 0
Inanipa wakati mgumu kumchagua ni yupi niwe naye ktk maisha yangu kama BABA na MAMA. Kinachonipa ugumu ni maisha niliyo yaexpirience hapa Chuoni ambapo kwa Asilimia mia moja ya wanawake, asilimia tano tu ndo anaweza kuishi na mpenzi mmoja kwa mda angalau wa mwaka mmoja na hata miwili. Ila waliobaki leo ana huyu na kesho yule. Nashindwa kuelewa hivi kuwa na wengi ndio ufanisi ktk mapenzi au????.............. Nimechunguza kila Kabira wana mienendo yao. Wapo wale wakimya lakini kwa sura na sio matendo na wapo wale mapepe kwa vyote matendo na maneno pia wapo wale mapepe kwa maneno lakini watulivu wa tabia lakini kuwatambua hao ni kazi kubwa. Mda wote niliosho hapa chuo sijafanikiwa kumpata wa kunifaa ktk maisha. Inanipa wakati mgumu nikiona room mate wanaleta wakwao nami natoa chance for fare game tu na sio mie kuleta nao wakatoa chance. Je, nifanyeje maana mpaka sasa niko Mwaka wa Pili na umri tayari 24yr nahitaji mchumba, nifanyeje????............. Kwa ushauri zaidi nitafute kwa namba 0787 391 170 au 0759 065 348. THANKS AND BEST WISHES.