Bujoro
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,046
- 2,131
Habari wakuu, moja kwa moja nijielekeza kwenye hoja yangu kama inavojieleza hapo juu nimewie radhi mimi sio mzuri kwenye uandishi, nahitaji mtu kunyonya majitaka shimo limejaa nipo dar mitaa ya kifuru nimechimba hili shimo hata mwaka bado ila limejaa yaani limenisapraizi sana sikutegea liwahi kujaa hivi udongo wa huku ni mfinyanzi hatari, ukiona mwanaume anali ujue kuna jambo.
Wanyonyaji wa majitaka wapo wengi ila mimi nina changamoto ya kifedha nina fedha pungufu kidogo sana hivo naomba mtu ambaye amepata kazi ya kuja kunyonya huku niliko kifuru au kinyerezi au segerea hata mbezi ya kimara au marambamawili ili nimuungie apite na hapa kwangu anisaidie kudhia hii
Anaweza kuja kwangu baada ya kumaliza kazi yake aliyoitiwa au anaweza kuanzia kwangu ni yeye tu na urahisi wake anaouona.. Sio lazima iwe leo hata kesho au kesho kutwa yaani hata ndani ya siku 3 hizi nitavumilia hii hali ya harufu sina namna ni shimo la kawaida sio kubwa sana.
Naomba msaada wenu, Unaweza usiwe wewe lakini una ndugu jamaa na marafiki wanafanya hii kazi ya kunyonya majitaka hivo naomba msaada wako kuniunganisha nao kwa kuwapa contact zangu ili nifanikishe swala hili ni kero sana sema tu sina pesa kwa sasa ivi ningeita tu chapu wakaja. Natanguliza shukrani kwenu wote coz atakaenisaidia simjui.. Kwa maelezo zaidi 0712776823.