Nahitaji kununua simu yenye sifa hizi, je ni simu ipi itanifaa?

Mshua's

JF-Expert Member
May 22, 2013
801
546
Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kununua simu ila sijajua ni brand gani kati ya Samsung, Nokia au Infinix

Nahitaji simu yenye sifa hizi:

- Processor - snapdragon 630
- Ram 4, CPU 32 GB
- Kioo supergorrila 3
- Battery 4000 mAh
- Camera 16 mp
- Na vitu vingine kama hivyo

NB: Ukitaja brand ya simu taja na bei yake.

Natanguliza shukrani kwenu
 
Tangu nianze kutumia smartphone, nilinunua Nokia Lumia miaka 8 iliyopita sijawahi kununua simu tena. Na kwa sasa nanunua sababu Lumia wamesitisha mkataba na whatsapp, whatsapp haifanyi kazi ndio maana nanunua simu nyingine, lakini hii lumia bado ilikua nzuri na naipenda
 
ingia hapa cheki Galaxy A-Series za Samsung na bei elekezi

angalia vizuri kuna za chipset ya Exynos na SnapDragon

Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kununua simu ila sijajua ni brand gani kati ya Samsung, Nokia au Infinix

Nahitaji simu yenye sifa hizi:

- Processor - snapdragon 630
- Ram 4, CPU 32 GB
- Kioo supergorrila 3
- Battery 4000 mAh
- Camera 16 mp
- Na vitu vingine kama hivyo

NB: Ukitaja brand ya simu taja na bei yake.

Natanguliza shukrani kwenu
Mbona sd 630 ni ya kizamani sana? Una budget range kiasi gani? Simu utanunulia maduka yetu ama unataka ya kuagizishia online.
 
Budget yangu ni kati ya Tshs laki 4 hadi laki 5. Natarajia kununua kwenye maduka yetu ya hapa nchini. Utaratibu wa kuagiza kwenye mtandao nilikuwa sijafikiria kufanya hivyo, labda kama nikipata uelewa zaidi kuhusiana na hilo. Umesema SD 630 ni ya kizamani, ya kisasa inaanzia sd ngapi? Na kwa budgeti yangu hiyo naweza kupata simu yenye sd zaidi ya hapo? Unaweza kunipa list ya hizo brand za simu?
 
Samsung galaxy A 20 bei 320k, Samsung galaxy A30 iko zaidi ya sifa hizo bei ni 400k, Samsung galaxy A30s bei ni 550k kwa maelezo zaidi ingia Google kajiangalizie mwenyewe ziko poa sna mi nataumia A30 cjutiii

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa ushauri mkuu! Leo nimeingia madukani kufanya window shop ya simu aina ya Nokia 6.1plus na hiyo Sumsung galax A30, nimegundua simu nyingi hawaweki specification kama nilivyo weka hapo juu. Wanaweka kwa kifupi tu labda Ram 4, CPU 64, 16MP, betri 4000mAh, na 4G, vingine hawaweki. Mambo ya supergorilla, snapdragon, media tek, nk, hawakuwekie.
 
Kiongozi karibu katika familia ya xiaomi ingia telegram Xiaomi users tz 'search hio group uje ujionee maajabu, kwa hio pesa ulionayo nakushauri uchukue simu hizi, redmi note 7 au redmi note 8 .
Agiza online au wape wataalamu wakuagizie au kama una ndugu Zanzibar agiza utapata global rom ambapo bei zao ni nzuri kuliko wauzaji w xiaomi wengine . Ukihitaji mawasiliano karibu nitakupatia.
 
Chukua Xiaomi Redmi Note 8 au Xiaomi Mi A3 zinarange hyo bei ya 450k mpk 500k lwenye maduka ya kibongo.
Budget yangu ni kati ya Tshs laki 4 hadi laki 5. Natarajia kununua kwenye maduka yetu ya hapa nchini. Utaratibu wa kuagiza kwenye mtandao nilikuwa sijafikiria kufanya hivyo, labda kama nikipata uelewa zaidi kuhusiana na hilo. Umesema SD 630 ni ya kizamani, ya kisasa inaanzia sd ngapi? Na kwa budgeti yangu hiyo naweza kupata simu yenye sd zaidi ya hapo? Unaweza kunipa list ya hizo brand za simu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiongozi karibu katika familia ya xiaomi ingia telegram Xiaomi users tz 'search hio group uje ujionee maajabu, kwa hio pesa ulionayo nakushauri uchukue simu hizi, redmi note 7 au redmi note 8 .
Agiza online au wape wataalamu wakuagizie au kama una ndugu Zanzibar agiza utapata global rom ambapo bei zao ni nzuri kuliko wauzaji w xiaomi wengine . Ukihitaji mawasiliano karibu nitakupatia.
Mkuu huko telegram naomba niulizie bei ya xiaomi note 10
 
Samahani navamia uzi kidogo, mkuu hvi ni aina gani ya nokia ambayo ni feature phone ambayo ni best of all time, ambayo inaweza kwenda na mazingira ya kisasa, na ni dual cards???

Sent using Jamii Forums mobile app
nokia 515, sema bei zake ni ndefu sana, hii ndio feature phone ya mwisho ya Nokia kuitoa kabla ya kuuza kwa microsot, ilikuwa ni kama zawadi kwa mashabiki wake.
nokia-515-2.jpg

kwa smart feature phone ni Nokia c5 5mp
nokia-c5-00-5mp.jpg

hizi upatikanaji ni rahisi kikuu zipo around 50k mpaka 60k hivi

hawa HMD pia wanatengeneza feature phone za Nokia sema sirecomend kivile hizi simu zao za kai os, unless unataka tu kujaribu, mwezi huu wa pili watazindua feature phone ya android tusubiri tuone itakuwaje inaweza kuwa nzuri zaidi.

edit, hio c5 sio dual sim, ila 515 ni dual sim sikusoma vizuri juu.
 
Asante mkuu

Screenshot_2020-02-03-08-46-32-47.png

Nimecheki kule Ali express hyo nokia 515, almost kma zaidi ya laki 2, je kipi cha kubeba kati ya hii xiaomi au hyo nokia??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 1344898

Nimecheki kule Ali express hyo nokia 515, almost kma zaidi ya laki 2, je kipi cha kubeba kati ya hii xiaomi au hyo nokia??

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye features hio xiaomi ipo vizuri zaidi sababu ni modification ya android. Hivyo kama unataka simu ndogo itakayo act kama smartphone inamake sense.

Ila kwenye matumizi ya ki feature phone hio 515 itakuwa nzuri zaid vitu kama ukaaji chaji, durability (full alluminium body), call quality etc.

Sema mkuu MWC haipo mbali subiri kidogo, android ya hio xiaomi ni modified tu sio official toka Google, MWC tunategemea official Android feature phone os ambayo itakuwa optimised zaidi.
 
hiyo 515 niliikuta kwa jamaa mmoja anaitumia,nilimbembeleza aniuzie akagoma,roho iliniuma sana.

kwenda dukani inasoma 240+ nikaona eh,isiwe tabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom