PATIENCE PB
Senior Member
- Apr 3, 2014
- 163
- 37
Wakubwa shikamooni!!
Wanajamvi naleta huu uzi mwenye kujua hii course ya B.A.Economics ya UDSM anieleze ina opportunity zipi za kazi kwa sababu mimi nimemaliza kidato cha sita mwaka huu na nimepata div. One na nataka nifahamu kuhusu hiyo course na wapi ntakuwa nafanya field kama ntakuwa nimesoma hiyo na soko la ajira liko vipi ukiwa economist?Nimesoma ECA-Kibaha boys
Asanteni!!