Nahitaji kijana wa kiume/wakike

Jul 26, 2012
16
4
Wandugu nahitaji kijana wa kike au wa kiume kwa ajili ya kuniuzia duka la vocha na tigo pesa,ila after nitaweka na Mpesa,airtel money,vocha za jumla,max malipo,tigo rusha na vinginevyo.Mshahara ni maelewano,uka lipo maeneo ya Mgomeni Kagera.Kwa mawasiliano zaidi ni kwa kupitia fihavangoa@yahoo.com
 
GLORY TO GOD: VP umeshapata huyo kjana,nina mdau wangu yupo tayari kufanya hiyo kazi,xo naomba contacts zako zaidi ie ur phone #
 
Back
Top Bottom