Nahitaji JF Orientation au JF Directions for Use

Naisujaki Lekangai

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
1,340
1,377
Sina muda mrefu hapa JF. Napata shida sana kuhusu mambo mengi. Kwa mfano, kama nachangia mada ya mtu halafu nataka kumjulisha huyo mleta mada kwamba nimechangia, ntamjulishaje?
Kuna mada nilitoa hapa, mchangiaji mmoja akaniambia 'ni PM' Manaake ni nini?
Ninapoingia JF nakuta kabango ka kijani kameandikwa 'Notifications'.Kazi yake nini?

Nilijitambulisha rasmi kwenye jukwaa la utambulisho lakini sikupewa maelezo yoyote ya namna ya kukata mitaa ya JF. sanasana niliambiwa "Karibu Mkuu Jisikie uko nyumbani."

Bado kabisa sijajisikia nyumbani. Nahitaji mtu mwenyeji wa kunielekeza jinsi na namna ya mambo mbalimbali kama niliovyogusia hapo juu. Je, wapo watu maalum kwa kazi hiyo?

Naomba msaada.
 
Umekaguliwa kwanza?
Sharti la kuingia humu CC uwe umekaguliwa.

Madame vipi ? Humuonei huruma huyu member mpya? Kujieleza kote hivyo alivyojieleza! Ukimpa issue za kukaguliwa ndy unazidi kumchanganya!
Ni hivi naja kwako mgeni nikupa japo preface ni kwamba hapa kuna two path za contact , kuna hiyo ya pm means private message hii si contact ya siri kati yako na unaemtumia.
Alafu ya pili ni public shares , ambako ndiyo kwenye kutolea posts, kusoma posts za wadau na kuchangia posts.
Hapahitaji kumuarifu member uliyechangia post yake taarifa.
Kwani ukishachangia mchango wako utakua public yaani eneo la wazi, si yeye tu uliyemchangia peke yake ndy atauona mchango wako , bali members yeyote aliye hapa akitaka kuusoma mchango wako ataupata.
Aidha jaribu kufatilia rules na mienendo ya humu utaipata tu. Kwa uchache ni hayo.
Hiyo habari ya kukaguliwa aliyokwambia madame B utaijua badae ukishazoea humu.
 
Karibu chit chat.Baada ya ukaribisho ni onyo kali.Humu jamvini kuna kinamama wameolewa na wengine wanachumbiwa.Tatizo baadhi ya midume humu ni mikware,macho mia mia,wakikutongoza usikubali wanataka wake zao wakutie macho.Chunga sana PM za wafuatao:
Asprin Kaizer The Finest Erickb52 Judgement,.mtoboasiri platozoom,.youngmaster....nitarudi na oroza zaidi....oooops nimesahau@nyani ngabu.
 
Last edited by a moderator:
Umekaguliwa kwanza?
Sharti la kuingia humu CC uwe umekaguliwa.

Karibu chit chat.Baada ya ukaribisho ni onyo kali.Humu jamvini kuna kinamama wameolewa na wengine wanachumbiwa.Tatizo baadhi ya midume humu ni mikware,macho mia mia,wakikutongoza usikubali wanataka wake zao wakutie macho.Chunga sana PM za wafuatao:
Asprin Kaizer The Finest Erickb52 Judgement,.mtoboasiri platozoom,.youngmaster....nitarudi na oroza zaidi....oooops nimesahau@nyani ngabu.

Nyie Bishanga na Madame B mnazungumzia kitu kimoja?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
@naisujaki lengakai.......karibu sana vitu vyote utaelewa taratibu...........PM ni private message (sio massage) na mengine nitakuwa nakujulisha Mimi hapa kwenye hili jukwaa ni mratibu lakini pia kifupi ni kwamba mimi ni mmoja wa JF founder.

In fact uta-enjoy sana na usisite kuniuliza mimi chochote. Kuhusu memba kadhaa hapa jukwaani kama Bishanga, Asprin na Erickb52 usiwe na shaka ni vijana tunawatrein ili baadaye waendeshe hili jukwaa bila tatizo lolote pale ambapo tutatingwa na majukumu mengine.

Karbu sana............Ndimi platozoom
JF FOUNDER
 
Last edited by a moderator:
Karibu chit chat.Baada ya ukaribisho ni onyo kali.Humu jamvini kuna kinamama wameolewa na wengine wanachumbiwa.Tatizo baadhi ya midume humu ni mikware,macho mia mia,wakikutongoza usikubali wanataka wake zao wakutie macho.Chunga sana PM za wafuatao:
Asprin Kaizer The Finest Erickb52 Judgement,.mtoboasiri platozoom,.youngmaster....nitarudi na oroza zaidi....oooops nimesahau@nyani ngabu.

Utapigwa wewe shauri yako
 
Madame B ananiuliza hivi: Umekaguliwa kwanza?
Sharti la kuingia humu CC uwe umekaguliwa
.

Kukaguliwa? Jamani! Sijabeba mabomu wala silaha za hatari. Hata hivyo nilipojitambulisha jukwaa la utambulisho si ndio kukaguliwa huko? Au?
 
Last edited by a moderator:
Madame B ananiuliza hivi: Umekaguliwa kwanza?
Sharti la kuingia humu CC uwe umekaguliwa
.

Kukaguliwa? Jamani! Sijabeba mabomu wala silaha za hatari. Hata hivyo nilipojitambulisha jukwaa la utambulisho si ndio kukaguliwa huko? Au?

Hapana kule haukaguliwi,kule unajaza Guest Book.
Baada ya kuja humu CC kuna ukaguzi na upekuzi yakinifu unaofanywa na vijana wa Kova.
Wanakwambia eti watajuaje kama umebeba mabomu?
Usiogope shosti,nitakupeleka kwa mkaguzi mzuuuri anaitwa Asprin.
Utapata faida nyingi sana toka kwake.
Uko tayari?
Au nikupeleke kwa Erickb52 au Bishanga?
 
Madame B nakuomba uje nae nimkague aisee maana lol raha hajazijua bado!
 
Madame B anaendelea kunipasha:
Hapana kule haukaguliwi,kule unajaza Guest Book.
Baada ya kuja humu CC kuna ukaguzi na upekuzi yakinifu unaofanywa na vijana wa Kova.
Wanakwambia eti watajuaje kama umebeba mabomu?
Usiogope shosti,nitakupeleka kwa mkaguzi mzuuuri anaitwa Asprin.
Utapata faida nyingi sana toka kwake.
Uko tayari?
Au nikupeleke kwa Erickb52 au Bishanga?

Huku kuna vijana wa Kova? Kova afande au mwingine?Sijaja huku JF kutakatisha fedha. Sasa vijana wa Kova wa kazi gani?
Halafu mie Asprin situmii, nina vidonda vya tumbo. Naona kama hamtaki kunipa ukweli makini ila mnanichora tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom