mmmh ukiona hivyo ujue keshapata mtu mwenye manyoa au bwana wa kipemba nenda surrender bridge pale kuna jini manyoa litakupa bure mpaka ya kwenye ulimiMwanamke wangu hupenda manyoya ya kifuani na tumboni, ilhali mimi sina....! Nifanyeje?
Lakini kuna siri gani kuhusu manyoya haya kwa wanawake?
ha!ha!ha!haaaaaaaaaa raaha kweli kweli ebu nenda kaishi na masokwe porini kwa mwezi mmoja uenda zikaota..
sasa uyo mkeo mbona ana kero sasa?ataomba vp kitu ambacho huna nahakipatikan madukan?
uyo hana to faut na wale wanaosema..napenda urefuke kama john...eti mpz...?uyo anamaanisha ajaridhika na wewe na anayoyataka we huna..na ukichek kwa undan zaidi akupend labda ndo mana anatafuta kakitu kaduuuchu ambacho anajua hauwez ukakifixx
--km vp nenda salun ukabandike human hair fup fup zile labda ataona km ayo manyoya..!!!!!
manyoya yana raha yake bt nt too muuuuuch vile mtu anamanyoya mgongon tumbon.....haaaaaaa kero tena bt si issue saaaaaaaana as long as long as MENGINEYO yamo!!!!
..kuna rafik angu akimwona mkaka ana ndevu ndefu km zle beberu style bt zisiwe ndeeefu saana yan za kishkaji tu km za radio yule mwanamuziki wa uganda anataman aende akamwombe azishike...hahhhhaa sjui nivip mtu anapenda manyoya na anakosa raha akikosa...!!!!!!!!
Mwanamke wangu hupenda manyoya ya kifuani na tumboni, ilhali mimi sina....! Nifanyeje?
Nenda saluni yeyote ya kiume, okota mabaki ya nywele zilizo katwa kisha bandika kifuani kwako, kisha nenda kwa mkeo ATAFURAHI SANA.
NB:-
Hii mianamke tunayoiokota mitaani ina shida sana. Na wewe mdai sura kama ya Miriam Odemba.
mwambie aridhike,ila manyoya yana raha yake.kama wanaume wengine wanapenda shanga,wakizichezea,wanapata mzuka fulani,na hato manyoya ni hivyo hivyo,mwanamke akichezea,anajisikia raha fulani.
wakurya kwa ujibacha kakangu mi spend ,manyoya napenda ndevu fulan ivi ndefuu bdefu km beberu bt nt O au masharubu sjui mustach apanaaaaaa.. nataka za apo mbele tu zichomoze za kutosha kusuka konga moja au butu moja .......uwez jua zna kaz gan bt zna kazi kuubwa tu najua utaniuliza ip?stakwambia mpk ukue ..YESS MPAKA UKE KDG..ssaaaaawaaaaaaaa?
we mbona unapenda mwanamke km baunsa na mimi sjawai kukuuliza y? ..hahahh habarrrrrrrr ndo iyo byeeeeee naenda pata uji mie karibu!!!!!!!
hahahhhaaaaaa hahah dah funza umenchekesha mpz acha......do u thk m BHOKE?wakurya kwa uji