Nahitaji gari la kununua

lamwija

New Member
Mar 16, 2012
3
1
Kama una vitz au corolla ya mwaka kuanzia 2000, 2001...... na kuendelea juu tuwasiliane, iwe na km chini ya 100,000 na iwe katika hali nzuri. bei isizidi 7Mil. no yangu ni 0755 555351. Naomba kuwasilisha.
 
Nina Cresta ya 2000 bei 8m,silver odo 92000km,vvti,register mwaka jana june kama ukiitaji ni PM good condition

Alloy Rims/ac/cd
 
Wakuu hivi nisehemu gani naweza kupata kitimoto safi weekend hii, hali ya hewa inaruhusu sana..

Mkuu hii thread inahusu gari vipi tena,

Lakini kwa mnyama wa taifa, jaribu coco beach, pork pub...ameenda shule..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom