Nahitaji fundi wa kunijengea kibanda cha mlinzi shambani

Kitope

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
236
58
Kwa heshima zote Wakuu. naombeni mwenye ujuzi huu anifungue macho! Nahitaji kibanda tu cha kawaida, yaani chumba kulia chumba kushoto na choo kipo tayari nje! Kwa aliyewahi kufanya hii itanigharimu ngapi?!!? kila kitu nanunua mwenyewe tofali zipo tayari shambani kwa hiyo hapa ni mbao za kuezekea,mabati na dirisha za mbao!! Naombeni msaada nipo njia panda kwa anayejua makadirio yake. ama kama kuna fundi mwaminifu naomba nitambulishwe. kwa wale wazoefu nini nitahitaji zaidi? eneo liko huko kigamboni mashambani
Shukrani zinatangulizwa.
 
Dah! Mkuu asante kwa kulivumbua hili, lakini post hii ni ya kipindi na shughuli imeshafanywa! shukran sana lakini kwa moyo wa kutaka kusaidia.
Ila tu kwa faida kwa wote labda pia ungeweka gharama zako za kufanya shughuli kama hiyo ili kwa baadae kama vipi nikutafute na wengine humu kama wanahitaji kitu cha mtindo huo wapate kujua wapi na nani wamdake!
natoa shukrani zote.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom