Mi mzima bibie za masiku..??
Me ntakupa punda
nzuri nlikumiss
Simple sana kuwapata hao farasi
halafu ukimpata huyo farasi na kutoswa!...utamchinja ule nyama???
Baba V, Mbona mapema hivyo subirisubiri kidogo basi..Afu wewe,,, ulim miss St. Paka Mweusi?????
Afu wewe,,, ulim miss St. Paka Mweusi?????
Nashukuru nimerudi salama,nilikokuwa kule Kibada mtandao ulikuwa unasumbua kweli,si unajua biashara ya Maembe bila kuwatangulizia kishika shamba basi utakuta wenzio washamaliza Maembe yote..