Nahitaji connection na watu toka Israel

Apr 5, 2012
21
13
Wana JF,

Salaam,

Ni imani yangu kuwa nyote mu wazima wa afya,

Ndugu zangu naomba mnisaidie kuwa connected na watu toka Taifa la Israel.Imekuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu lakini toka wakati nilipoanza kufanya jitihada za kuwa connected na ndugu hawa,hadi leo hii sijaweza kufanikiwa.Ninaamini wapo watu miongoni mwetu humu katika JF ambao swala hili linaweza kuwa dogo sana kwao as penye wengi pana mengi pia.

Nategemea kupata ushirikiano wenu ndugu zangu na Mungu Awabariki sana,

Nawasilisha
 
Kuna kipindi huwa ninakuwaga na wateja kutoka Israel na hata huku Arusha wapo waisrael kadhaa wanafanya biashara! Lakini sijui lengo lako ni nini mpaka uhitaji kukutanishwa nao?

Wana JF,

Salaam,

Ni imani yangu kuwa nyote mu wazima wa afya,

Ndugu zangu naomba mnisaidie kuwa connected na watu toka Taifa la Israel.Imekuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu lakini toka wakati nilipoanza kufanya jitihada za kuwa connected na ndugu hawa,hadi leo hii sijaweza kufanikiwa.Ninaamini wapo watu miongoni mwetu humu katika JF ambao swala hili linaweza kuwa dogo sana kwao as penye wengi pana mengi pia.

Nategemea kupata ushirikiano wenu ndugu zangu na Mungu Awabariki sana,

Nawasilisha
 
Wana JF,

Salaam,

Ni imani yangu kuwa nyote mu wazima wa afya,

Ndugu zangu naomba mnisaidie kuwa connected na watu toka Taifa la Israel.Imekuwa ni ndoto yangu ya muda mrefu lakini toka wakati nilipoanza kufanya jitihada za kuwa connected na ndugu hawa,hadi leo hii sijaweza kufanikiwa.Ninaamini wapo watu miongoni mwetu humu katika JF ambao swala hili linaweza kuwa dogo sana kwao as penye wengi pana mengi pia.

Nategemea kupata ushirikiano wenu ndugu zangu na Mungu Awabariki sana,

Nawasilisha

Ingia mitandao ya kijamii Duniani kama facebook, twitter, myspace etc.
 
Back
Top Bottom