Nahitaji anayeweza kufundisha ujasiriamali

emmarki

JF-Expert Member
Nov 22, 2012
682
918
Niko wilaya ya Mafia, nalea vikundi vya wamama na vijana. Wanachama walio ndani ya hivi vikundi shughuli kubwa niliyoona wanafanya sana ni wanakopeshana sabuni za unga.

Wananunua carton ya sabuni ya unga mfano doffi wanakopeshana, baada ya wiki aliyekopeshwa anarejesha 2000 kwa kila pakiti ya doffi aliyokopehswa..

Kwa upande wangu naona ni biashara kichaa, nimeona nitafute mwalimu anayefundisha ujasiriamali na usindikaji/utengenezaji wa bidhaa mbalimbali.

Malipo na utaratibu mwingine tuwasiliane. 0712864404
 
Good move
 
Inabidi wajifunze kufanya usindikaji wa dagaa na samaki, kutengeneza vifungashio vizuri na kuwauza kwenye masoko ya ndani na nje
 
ndio natafuta mwalimu aliyeiva vizuri awatoe tongotongo hawa waswahili
Hapo mm nipo nitakuja na mdau wangu.

Huko vifuu vya nazi wanatupa ni deal, tutawafundisha utengenezaji wa boti,kusindika samaki na dagaa kwa technology rafiki
 
Hakuna kulogana huko?

naweza jitolea kufundisha bure kabisaaaaa
ila
gharama za usafiri na malazi juu yako
kula juu yangu

ntawafundisha kutengeneza bidhaa zitakazoendana na uhitaji wa eneo lao, pia namna yakufanya biashara ikue na iendelee kuwepo bila kufa

0688301635
Whatsapp me ukipenda
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom