Nahitaji mwanaume wa kuanzisha nae familia

Mimi ni mdada mwenye miaka 31,Mkristo,na nimwajiriwa.Elimu yangu ni shahada .Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, umri kuanzia 31 kwenda juu,njoo pm

Dada, miye wamenifungia kile kidude cha pm. Mbona nipo tiyari kukutafuta kwa gharama yangu hadi nikuone tu. Sichagui, sura wala umbo, bali uwe na chuchu mbili tu. Upo tiyari??
 
Mimi ni mdada mwenye miaka 31,Mkristo,na nimwajiriwa.Elimu yangu ni shahada .Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, umri kuanzia 31 kwenda juu,njoo pm
Mi pia nahitaji mwanamke wa kuanzisha nae mahusiano,nina miaka 32,nina shahada mwajiriwa
 
Kuna mwingine yupo huku ana 33+ ni fundi cherehani, anahitaji mume kila siku anashinda kanisani na anapata wachumba wengi sana ila anadai hawataendana mara watasumbuana mbeleni, mara hana kazi rasmi. Ha ha haaaaah!, usije ukawa ndio weye!......kila siku unakataaa wanaume waendao kwa mchungaji kutoa shuhuda kwamba wameonyeshwa wewe alafu ww unawakataa. Sasa unaenda 33 and above
 
Mimi ni mdada mwenye miaka 31,Mkristo,na nimwajiriwa.Elimu yangu ni shahada .Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, umri kuanzia 31 kwenda juu,njoo pm
Profile yako inaonesha ulizaliwa 1969, miaka 46 sasa. Nina wasiwasi hutaweza kumpata mtoto na mwanaume utakayempata ni mzee sana hivyo joka la shaba litakuwa limeshalala kama tairi yenye panja ya kudumu.
 
Ney200 walimu wenzio hapo chuoni hawakutaki? pole sana! ila upunguze nyodo. hakuna binadamu mkamilifu, jifunze uvumilivu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom