Nahitaji mwanaume wa kuanzisha nae familia

Mimi ni mdada mwenye miaka 31, Mkristo, na nimwajiriwa. Elimu yangu ni shahada. Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, umri kuanzia 31 kwenda juu, njoo pm.
Kuanzia darasa la saba mpaka unafika Chuo ukuweza kumpata wako? Mungu akusaidie humu JF uweze kutimiza haja yako
 
Mimi ni mdada mwenye miaka 31, Mkristo, na nimwajiriwa. Elimu yangu ni shahada. Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, umri kuanzia 31 kwenda juu, njoo pm.
47 years mama tuachie nasisi. This is not fair
 
Mimi ni mdada mwenye miaka 31, Mkristo, na nimwajiriwa. Elimu yangu ni shahada. Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, umri kuanzia 31 kwenda juu, njoo pm.
Jee akiwa chini ya umri huo na amekupenda na amekubali kuanzisha mahusiano na sifa zote anazo utamkata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom