Nahitaji mwanaume wa kuanzisha nae familia

Mimi ni mdada mwenye miaka 31,Mkristo,na nimwajiriwa.Elimu yangu ni shahada .Nahitaj mwanaume ambaye Yupo tayar kuanzisha familia, umri kuanzia 31 kwenda juu,njoo pm

Ni PM Ila UWE NA sura nzuri ILI tuendane
 
Nilishakwambia uni- pm, lakini kimya, kama unachagua weka vigezo vya kidume umtakaye ili tuone kama tunakidhi. Pia na wewe utuwekee hapa sifa nyingine ikiwemo body morphology.
 
Mm nina miaka 33 nina mke na watoto 2 na nina shahada ya uhandisi. Naruhusiwa kupm?
 
a
Dada, miye wamenifungia kile kidude cha pm. Mbona nipo tiyari kukutafuta kwa gharama yangu hadi nikuone tu. Sichagui, sura wala umbo, bali uwe na chuchu mbili tu. Upo tiyari??
hahaha nimecheka we unataka chuchu km hana K je? upo tayari.
 
Mimi ni mdada mwenye miaka 31, Mkristo, na nimwajiriwa. Elimu yangu ni shahada. Nahitaji mwanaume ambaye yupo tayari kuanzisha familia, umri kuanzia 31 kwenda juu, njoo pm.
Mimi niko tayyar umri wangu 35
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom