Nahisi sina kosa!

kivyako

JF-Expert Member
Feb 2, 2012
14,341
12,045
Ndg wana JF kuna wadada ambao nikikutana nao macho yangu uenda moja kwa moja kifuani mwao kwa sababu 'nido' inakuwa njenje na wengne wana vinywele pale na wengne wamemwagia wese panangaa! Kwakweli mi uwa sijivungi kutupia jicho mpaka wengne utaona anaziba na mkono kwa aibu, hivi ni kosa kuangalia wajameni?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom