Nahisi siku zangu za kuishi Dunia zinakaribia kuisha, sielewi!

hiyo plan ndio... kama siiioni future yangu siioni kabisa 😭 ujue nafanya kazi nahangaika sana ila sina maendeleo KABISA...!
Plan lazima uwe nayo kama unataka kuwa mmoja kati ya watu wenye uhai kichwani

Set lengo la miaka hata minne mbele then lipasue kuwa vipande vya mwaka mmoja mmoja. Hii itakusaidia sana.

Mm lengo la miaka minne nikakae kwangu. So mwaka huu usiishe nijenge msingi kwanza. Lakin pia hapo pia, Nina lengo la kumiliki mashamba hata heka Tano nikapande miti ya matunda.

Yani miaka minne mbele Nina kifurushi Cha mambo ya kutimizwa ambayo nahangaika nayo kwa mgawanyo wa mwaka mmoja mmoja. Hii inanipa uhai wa mapambano..

Kwa mana hapa kila likitimia Moja ni kama naanza Moja mana lingine linafata.
 
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.

Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.

Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho 😭😭😭 kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.

Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.

Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!

Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.

Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲

Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.

miaka ya nyuma nilikuwa na ndoto pengine za kuwa fulani nikawa naziishi ndoto hizo kwa kuzipambania kwa vitendo lakini siku bahatika kuishi maisha ya ndoto zangu.

siku hizi ni kama siioni future yangu kabisa... muda mwingine mpaka najiona kabisa kama napoteza tuu muda 😭😭😭😭

kama ninge kuwa simu hope ingekuwa kwenye flight mode ✈️🤣🤣🤣

Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.

Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. 😭

Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.

Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.

Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.​
Mwana njoo tushabikie Yanga huku, msongo wa mawazo hauna nafasi huku! Hiyo tulishawaachia Simba!😁😁😁
 
Wacha nikutie moyo Prince Mhando

Kuna wakati inafika unaiona dunia kama haitaki ushirikiano na wewe, Maisha yanakusulubu utadhani ulishawahi kumtukana Shetani kumbe hata huyo Shetani mwenyewe humjui! Hauko peke yako tuko wengi rafiki yangu mpendwa! Just relax Maana Kilio cha wengi ni harusi! Kikubwa tutiane moyo! Leo naanza Mimi kesho itakuwa zamu yako!
  • Unalala chini sakafuni? Tena nguo zako ndio godoro? Na nyingine ni pazia? Halafu asubuhi ukiamka unavaa hizo hizo Kwenda kusaka Maisha? Hapo haukumbuki kama jana yake ulikula na ukashiba na leo hauna hata uhakika wa kula. Umeshapiga watu vizinga mpaka unajisikia aibu! Usiogope. Hiyo ni shule tena hakikisha unatoka na division one maana baada ya dhiki Faraja!
  • Unatamani kujiua kwa sababu dunia imekukazia utadhani inakudai? Usifanye hivyo! Utaacha laana na mikosi kwenye ukoo wenu. Kikubwa unapopata tatizo usiwaze ukubwa wa tatizo waza ukubwa wa Mwenyezi Mungu katika hilo tatizo! Fanya hivyo maana Mungu hashindwi kitu. Mungu anaweza kufanya njia pasipo nan jia, anaweza akafanya ushibe pasipo na shibe na kufa neema penye noma. Mungu ni muweza wa kila kitu ( Kikubwa ni Imani)
  • Mungu hawezi kuruhusu changamoto ya kukuzidi! Anaruhusu changamoto ambazo unazolingana nazo. Changamoto za Mo Dewji hawezi kukupa wewe. Mwendo wa nyoka ni konakona lakini huwezi kumkamata! Mungu anakupa ulemavu na muondoko wake! Ondoka hivyohivyo. We nenda tu hata kama utatembea kama lori lililokata Centre bolt! Nenda utafika tu.
  • Unatamani kumkaba Konda ili uondoke na hela alizokusanya kwa sababu tu hauna hela? Usifanye hivyo maana hata Yeye sio za kwake ni za Tajiri yake anayedaiwa mkopo wa Benki. Unaona? Kila mtu ana shida zake! Pambana na hali yako, kikubwa usikae mbali na Mungu. Mungu yupo na anajibu kwa wakati Zaidi ya haraka. Kikubwa usijichanganye.
  • Unajisikia kufakufa? Moyo unataka kuchomoka kwa sababu umeachwa? Hapo utakuwa unafeli sana kwa sababu wewe sio wa kwanza kuachwa hadi utamani kunywa sumu ya Panya ili ufe? Hapana Wewe sio wa kwanza kuachwa na wala hautakuwa wa mwisho kuachwa. Kikubwa tafuta mwingine kwa sababu mapenzi hayana ubaguzi na ndio maana mpaka kichaa huwa anabeba mimba. Just relax
  • Umelala kitandani upo hoi haujiwezi? Usikate tamaa kwani kuna mwenzako muda huu amelala mochwari , anasubiri Kwenda kulala milele kwenye kaburi, Halafu amelala mochwari kwenye friji ameacha gari lake la kifahari, na kitanda chake kumi kwa kumi. Jipe moyo utapona usiwaze kufa, Uzuri ukifa haujui kama umekufa.
  • Kaza moyo tu , siku itafika utaachana na tabu za dunia. Utamu wa maji Kiu, utamu wa Soda Joto na utamu wa nyama meno yagongane gongane kinywani……
  • Umepata hasara kwenye biashara zako? Usiifunge! Kwani hasara ni moja ya vionjo kwenye biashara zilizofanikiwa. Hata Mdada aliyekopa pesa auze vitumbua na ile faida ananunulia vipodozi vya bei kubwa ili kuutafuta Uzungu Kichaa. Itikadi za Masikini huwa zinampa kazi sana Mungu yaani Masikini ana msemo wake Ukipata kula na ukikosa mshukuru Mungu. Habari za kufanya savings waachie wenye hofu ya Maisha! Umasikini Looh
  • Maisha kama hayaendi wewe nenda tu mtakutana mbeleni. Mkipishana na Maisha usilie maana hata Kilio cha Samaki machozi huenda na maji! Yakikupata usilie maana haitosaidia kitu. Labda kutoa sumu mwilini kupitia machozi . Maana mtu mzima kulia mbele za watu nacho ni kipaji .
  • Umefukuzwa kazi? Usijenge bifu na waliokufukuza! Ujanja ni kutafuta kazi nyingine. Ukishindwa basi tengeneza na wewe kazi yako nawatakaokuzingua na wewe uwafukuze. Kumbuka mtegemea vya watu hufa masikini. Kumbe mshukuru aliyekufukuza maana hakupenda ufe masikini. Amefanya kumpiga chura teke
 
asante sana 🙏 kiongozi... kiukweli nimeamini JAMIIFORUMS ni ukoo... wenye upendo sana...!
 
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.

Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu😭 hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.

Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho 😭😭😭 kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.

Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.

Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!

Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.

Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲

Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.

miaka ya nyuma nilikuwa na ndoto pengine za kuwa fulani nikawa naziishi ndoto hizo kwa kuzipambania kwa vitendo lakini siku bahatika kuishi maisha ya ndoto zangu.

siku hizi ni kama siioni future yangu kabisa... muda mwingine mpaka najiona kabisa kama napoteza tuu muda 😭😭😭😭

kama ninge kuwa simu hope ingekuwa kwenye flight mode ✈️🤣🤣🤣

Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.

Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua. 😭

Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.

Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.

Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.​
Ni dhahiri kila chenye mwanzo hakikosi kuwa na mwisho, hali kadhalika kila mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke itafika siku yake atakufa. Hakuna mwanadamu aliyepo hapa duniani kwa bahati mbaya Mungu anamalengo juu yako na ndio maana upo unaishi.

Unachotakiwa kufanya ni kushika mafundisho yake na kuomba neema yake ikuongoze katika kuyaishi maisha na hivyo basi hata wakati wako wakuondoka utakapo fika hautakuwa na mashaka. Anza sasa jitaidi kumjua Mungu ishi maisha yako kiroho na utaona nuru ya maisha ikirejea.
 
Kuna jamaa kashauri vzr kasema cheki minyoo. Yuko right asilimia 90. Minyoo inaweza kusababisha hivyo kabisa na nimeshuhudia kwa jamaa yngu.
 
Mimi ni kijana ambae nina mshukuru sana Mungu tokea nimezaliwa hadi hapa nilipofikia, watu wamenisaidia na bado wana nisaidia.

Kuna Muda huwa nina kufuru au kukana kutkukubaliana na uwepo wa Mungu hii ni kutokana na asilimia kubwa ya matarajio yangu tokea nikiwa mdogo hayakuwahi kutimia.

Maisha yangu yamekuwa ya mitihani sana, kila nilichojaribu kuanzisha hakikuwahi kufika mwisho kwakweli nimeishi nikiwa na huzuni na furaha chache, mpaka hapa nilipofikia nina watoto wa 3 ambao ninawapenda mno.

Vipo vitu vichache ambavyo vinanitokea hivi sasa vinapelekea mimi kuhisi pengine siku zangu hapa Duniani zina karibia kuisha.

Hivi karibuni kichwa changu kimekuwa kizito mno kutoa maamuzi na ni kama kichwa kinanielemea, kimekuwa na maumivu fulani mithili ya kichwa kilicho toka kuuma!

Kwa taaluma mimi ni Mwandishi wa Habari ambaye napenda sana kusoma vitabu na asilimia kubwa ya vitu vingi nimejifunza kutokana na kusoma vitabu, lakini hivi karibuni nimepatwa na hali ya kutokuelewa kila ninacho kisoma.

Vitabu vyote ambavyo nilikuwa navipenda nikivisoma nahisi vinanichanganya, hata baadhi ya mada nilizokuwa nazipenda hapa JAMIIFORUMS nazo pia nimekuwa sizielewi.🥲

Nimepatwa na hofu hata nikikaa karibu na watu ninaowapenda sifurahii uwepo wao, nahisi kujitenga tu nikae peke yangu tu muda wote.

miaka ya nyuma nilikuwa na ndoto pengine za kuwa fulani nikawa naziishi ndoto hizo kwa kuzipambania kwa vitendo lakini siku bahatika kuishi maisha ya ndoto zangu.

siku hizi ni kama siioni future yangu kabisa... muda mwingine mpaka najiona kabisa kama napoteza tuu muda

kama ninge kuwa simu hope ingekuwa kwenye flight mode

Ikitokea hamjaniona hewani mwezi mzima mfululizo mjue siku zangu niliziona kabisa zinahesabika hivyo malaika mtoa roho atakuwa amesha fanya yake.

Sifikirii kabisa kujiua kwa aina yoyote ile japo kwenye maisha yangu udogoni mwanangu nilishawahi mara 2 kujaribu kujiua.

Mara ya kwanza nilijaribu kunywa sumu haikuniua, hapo nilikuwa na miaka 9 au 10, mwaka mmoja baadae nilijaribu kujinyonga bahati mbaya kile kitanzi pia hakikuondoka na maisha yangu.

Hivyo nichukue fursa hii kuwaaga ndugu zangu wana JAMIIFORUMS ambao tumeishi wote humu ndani kama familia. Kuna member humu nimesaidiana nao bila hata kufahamiana nao big up sana.

Kuna wengine tumekuwa ndugu na hata nje ya JAMIIFORUMS tumekuwa tukionana kwakweli sina cha kuwalipa.​
Una umri gani, nakushauri anza kuvuta bangi utakaa vizuri, acha ujinga na mseazo yako ya hovyo, hiyo ni mind tu esla huna tatizo
 
Back
Top Bottom