Nahisi ni huu ugonjwa, Sihitaji kupima najua ni wengi tuliokuwa na hali ya hofu kama mimi kipindi hiki

Habari zenu Wana JF? I wish mnaendelea vizuri na funga katika mwezi huu mtukufu...

Member Mwenzenu siko poa nina maumivu ya kichwa almost wiki ya pili sasa nilipima niliambiwa nina malaria dozi nilimaliza na bado nina hilo tatizo

Pili Mafua yanayobana sana majira ya usiku kiasi kwamba nashindwa kupumua kwa raha....Na baadhi ya dalili kama koo kuwasha na kikohozi

Lakini hofu yanguni huenda ukawa huu ugonjwa ila najiuliza ni wapi nimepata mbona ni mtu wa kufata zile measures zote.....

All In All dua zenu wenu wadau najua wengine mnapitia hali kama yangu
Pole sana. 1. Ni kweli inawezekana umepata maambukizi lakini huo siyo mwisho wa maisha, unaweza bado kupamnana na kushimda. Kwa sasa cha kufanya ni kuwaepusha unaowapenda kwa kukaa nao mbali ili usije kuwaambukiza. Zile tiba za asili huu ndio wakati wake kutumia mara kwa mara. Na pia mazoezi kila unapoweza kuyapa mapafu kazi ya ziada. 2. Kichukua tahadhari tulizoambiwa na WHO, haina maana unakuwa 100% safe as long as unaendelea na shughuli zako unless ingewezekana ujiweke peke yako muda wote. Nikutakie quick recovery
 
Diet yangu ipo hivi..
Asali+Limao+Tangawizi ya unga morning
Natafuna tangawizi..
Mchana nakunywa tena
Natafuna tangawizi
Kila siku saa moja jioni nakula chungwa
Kisha nakunywa tena mchanganyiko.
Sina mafua,siumwi kichwa wala homa
Ni sore throat tu ambayo nahisi inatengenezwa na Chronic Ulcers nilizonazo
Chronic ulcers then unakula malimao na tangawizi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu Wana JF? I wish mnaendelea vizuri na funga katika mwezi huu mtukufu...

Member Mwenzenu siko poa nina maumivu ya kichwa almost wiki ya pili sasa nilipima niliambiwa nina malaria dozi nilimaliza na bado nina hilo tatizo

Pili Mafua yanayobana sana majira ya usiku kiasi kwamba nashindwa kupumua kwa raha....Na baadhi ya dalili kama koo kuwasha na kikohozi

Lakini hofu yanguni huenda ukawa huu ugonjwa ila najiuliza ni wapi nimepata mbona ni mtu wa kufata zile measures zote.....

All In All dua zenu wenu wadau najua wengine mnapitia hali kama yangu
Aisee nakuombea kwa Mungu upone haraka.
 
Pole
 
Corona ipo, tuchukue tahadhali kila mmoja kwa namna yake!!!
 
Back
Top Bottom