Nahisi hili litatokea

hamidshaban

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
262
32
Kwamba mahakama itatengua matokeo Segerea ili kampen ziende sambamba na Arusha ili kugawa nguvu ya CDM tujiandae kwa lolote.!.
 
hilo lipo wazi mkuu,kuna info nitakuja nazo soon

kuna mambo yameanza kufanywa na ccm huko jimbo la Segerea kuashiria uchaguzi upo karibu
 
Kwamba mahakama itatengua matokeo Segerea ili kampen ziende sambamba na Arusha ili kugawa nguvu ya CDM tujiandae kwa lolote.!.

Mkuu nakuunga mkono juu ya hili! dalili ziliishaanza kuonekana katika uchaguzi Arumeru mashariki. Tundu lisu na John Mnyika hawakupata muda wakutosha kushiriki coz walibanwa na kesi zao za uchanguzi majimboni mwao. viongozi chadema kuweni makini!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom